Another myth ambayo haina evidence, Nchi Nyingi za kiarabu ni destination za Millionaires Na watu wasomi.
1. Average Salary UAE ni 191,000 AED kwa mwaka Roughly milioni 140 kwa mwaka na kama milioni 11-12 kwa mwezi, ingekua Vibarua ni wengi malipo ya kati yasingekua zaidi ya milioni 10.
2. Gdp per capita ni zaidi ya dola 50,000 kama masikini wangekuwa wengi ingeshuka.
Sasa hivi UAE ni top destination ya Millionaire Duniani kote, hii Top 10 ya Inflow ya Millionaires.
| Rank | Country | Projected Net Inflow |
| 1 | United Arab Emirates (UAE) | +6700 |
| 2 | United States of America (USA) | +3800 |
| 3 | Singapore | +3500 |
| 4 | Canada | +3200 |
| 5 | Australia | +2500 |
| 6 | Italy | +2200 |
| 7 | Switzerland | +1500 |
| 8 | Greece | +1200 |
| 9 | Portugal | +800 |
| 10 | Japan | +400 |