Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

What is this? Kwamba unarudia nlichokisema then badae unaniuliza swali sio?

Ulielewa nlichomwambia jamaa au hujaelewa?nimekubali kwamba kuna tofauti kati ya refuguees na migrants na nikatoa maelezo au wewe umechanganywa kwa sababu hujaona hiyo immigrant sio?ok fine elezea tena sasa tofauti kati ya refuguees,migrants,emigrants na immigrants.

Swali la msingi lilikuwa waarabu wanaenda Marekani hawaendi(data zote mnazoleta hapa nazikataa maana hazijibu hili swali)
 
Umeelewa hata nini nimeeleza!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aloo kumbe hata kiingereza kigumu!?
Emigration and immigration are synonymous all these are terms used to a person moving from one nation to another for permanent residence.
Migration is a collective term of moving from one area to another due to various reasons including seeking refuge.
Ndio maana nikasema data alizoleta jamaa ni sahihi kwasababu zina play role yote.
Hata mkimbizi ni mhamiaji ambaye anahama kukimbia machafuko sehemu aliyotoka.
Ndio maana nikasema kila mkimbizi ni mhamiaji ila sio kila mhamiaji ni mkimbizi.
Immigrants and emigrants are all migrants.
Embu soma kitaratibu uelewe kwanza nachomaanisha.

Wewe ulikua unadai hauzitaki hizo data kwasababu zinazungumzia emigrants/immigrants na sio refugees.
Ilhali hao refugees ni sehemu ya hao immigrants/emigrants.
Refugees are parts of emigrants/immigrants.

Soma kwa uelewa.
 
Mmmh hili mbona jipya!?
 
Hivi mzungu Huwa anawalazimisha hao viongozi kwenye hizo nchi ambalo wanachukua hizo nyara za serikali?
Ndio wanawatishia maisha na familia zao, siasa ya ulimwengu ni ngumu sana, Gadafi alikataa wote mliona kilicho mkuta
 
Nadhani ni kutokukujua tu au kukosa data sahihi lakini wazungu kwa sasa na African Americans ndio wanaongoza kwa kukimbilia kuishi nchi za mashariki ya kati hasa falme za kiarabu, Saudi Arabia, Oman , Bahrain, Qatar na Kuwait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…