Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
What is this? Kwamba unarudia nlichokisema then badae unaniuliza swali sio?Wimbi la waarabu kuhamia Ulaya na Marekani kila leo linapungua.
Sasa hivi wahamiaji wa kiarabu wengi huwenda Qatar,Uturuki,Kuwait n.k n.k
Halafu pia unatakiwa ufahamu all refugees are immigrants migrating to other parts seeking refuge from war and other difficulties.
But not all immigrants are refugees.
Hili mkuu umeshindwa kulielewa!???
Data alizoleta jamaa ni sahihi ila naona wewe na wenzako KIINGEREZA KIGUMU KWENU.
Wakimbizi wote ni wahamiaji ila sio wahamiaji wote wakimbizi.
Ulielewa nlichomwambia jamaa au hujaelewa?nimekubali kwamba kuna tofauti kati ya refuguees na migrants na nikatoa maelezo au wewe umechanganywa kwa sababu hujaona hiyo immigrant sio?ok fine elezea tena sasa tofauti kati ya refuguees,migrants,emigrants na immigrants.
Swali la msingi lilikuwa waarabu wanaenda Marekani hawaendi(data zote mnazoleta hapa nazikataa maana hazijibu hili swali)