Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

Wimbi la waarabu kuhamia Ulaya na Marekani kila leo linapungua.
Sasa hivi wahamiaji wa kiarabu wengi huwenda Qatar,Uturuki,Kuwait n.k n.k
Halafu pia unatakiwa ufahamu all refugees are immigrants migrating to other parts seeking refuge from war and other difficulties.
But not all immigrants are refugees.
Hili mkuu umeshindwa kulielewa!???
Data alizoleta jamaa ni sahihi ila naona wewe na wenzako KIINGEREZA KIGUMU KWENU.
Wakimbizi wote ni wahamiaji ila sio wahamiaji wote wakimbizi.
What is this? Kwamba unarudia nlichokisema then badae unaniuliza swali sio?

Ulielewa nlichomwambia jamaa au hujaelewa?nimekubali kwamba kuna tofauti kati ya refuguees na migrants na nikatoa maelezo au wewe umechanganywa kwa sababu hujaona hiyo immigrant sio?ok fine elezea tena sasa tofauti kati ya refuguees,migrants,emigrants na immigrants.

Swali la msingi lilikuwa waarabu wanaenda Marekani hawaendi(data zote mnazoleta hapa nazikataa maana hazijibu hili swali)
 
Umeelewa hata nini nimeeleza!?😂😂😂😂😂aloo kumbe hata kiingereza kigumu!?
Emigration and immigration are synonymous all these are terms used to a person moving from one nation to another for permanent residence.
Migration is a collective term of moving from one area to another due to various reasons including seeking refuge.
Ndio maana nikasema data alizoleta jamaa ni sahihi kwasababu zina play role yote.
Hata mkimbizi ni mhamiaji ambaye anahama kukimbia machafuko sehemu aliyotoka.
Ndio maana nikasema kila mkimbizi ni mhamiaji ila sio kila mhamiaji ni mkimbizi.
Immigrants and emigrants are all migrants.
Embu soma kitaratibu uelewe kwanza nachomaanisha.

Wewe ulikua unadai hauzitaki hizo data kwasababu zinazungumzia emigrants/immigrants na sio refugees.
Ilhali hao refugees ni sehemu ya hao immigrants/emigrants.
Refugees are parts of emigrants/immigrants.

Soma kwa uelewa.
 
Mwarabu asili yake ni mweusi,na wapo waarabu weusi waliobakia nchi za kiarabu,na kiko kisiwa kinaitwa Scotra,kisiwa hicho ni weusi watupu.Hawa unaowaita wewe waarabu,ni machotara wa kizungu na hao waarabu (weusi),baada ya kuoana waarabu (weusi) na wanawake wa kizungu wa kitumwa,nfio wakapatikana hao machotara wa kizungu na waarabu.Hao wanarudi kwenye asili ya mabibi na mababu zao.
Mmmh hili mbona jipya!?
 
Nadhani ni kutokukujua tu au kukosa data sahihi lakini wazungu kwa sasa na African Americans ndio wanaongoza kwa kukimbilia kuishi nchi za mashariki ya kati hasa falme za kiarabu, Saudi Arabia, Oman , Bahrain, Qatar na Kuwait
 
Back
Top Bottom