Uchaguzi 2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

Wananchi wagome kulipa Kodi Kama wasipoletewa maendeleo
Kama mbwai iwe mbwai Kodi asikusanye Kama hatapelekeqa watu wa chama chake afu unaomba kibabe kwa kufoka aisee... ni kauli za kibaguzi ...nadhani waliomfaham vizuri wanamuepuka kindumbilakuwili tuu
 
NI ubaguzi makubwa sana
 
Maendeleo hayana vyama!
 
usifanye kosa kuchagua upinzani.......wewe chagua CCM ili ujihakikishie maendeleo endelevu.......huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli....hapo hakuna kuremba. usijaribu kupoteza kura yako kwa upinzani.
 
Atuambie hayo maji anayatoa CHATO au kwenye hii arshi ya waTanzania wanaolipa kodi anapata hela za kutembea nazo kwenye kapu na kugawa atakavyo bila kupitia kwa Bunge . Huyu mtu atatupeleka kubaya na ndio maana tukimpa miaka 5 mi gine bila shaka atabadili katiba kwani ashadhani bila yeye Tanzania haipo.
WaTanzania kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…