Uchaguzi 2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Huyu mtu ana ndimi mbili hatufai kabisa.
 
Kama ni hivyo basi, majimbo ya upinzani asikusanye kodi, asiweke Dc wala Rc wapinzani wakusanye kodi na kuwahudumia watu wao.. Pesa za kodi sio za Ccm ni za serikali. Jpm kuna mahali ana potoka. Na wasaidizi wake hawamuambii.
Vitisho vya kuto peleka maendeleo kuna mikoa ilisha kutana navyo na wamevuka miaka mitano wakiwa powa. Kama Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, na Arusha aliwasusia kwa miaka mitano lakini wameroboa sasa mkuu anaendelea kuongeza wigo wa maadui. Hongera Ccm kwa uelewa mdogo.. Mna mpigia kampeni Lissu bila kujitambua.
 
Nchi yetu inaaibishwa sana hata kimataifa, sasa unaposem maendeleo hayana chama hapo hapo unasema mkimchagua mpinzani sileti maji tafsiri yake ninini??
Tafsiri yake ni aidha huelewi maana ya sentensi mojawapo katika hizi, au haelewi maana ya sentensi zote zinamaanisha nini, au anaelewa lakin ameamua tu kuongea akijua hakuna wa kumuhoji
 
Huyu analopoka tu chochote bila kujua anaongea maeneo gani, hata wakazi wa mbalizi anawambia walikosa connection wakati mbunge wao alikua wa ccm, mbalizi ni jimbo la mbeya vijijini na mbunge wao alikua wa ccm
IMG-20201002-WA0000.jpg
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.

The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Kama mbwai iwe mbwai Kodi asikusanye Kama hatapelekeqa watu wa chama chake afu unaomba kibabe kwa kufoka aisee... ni kauli za kibaguzi ...nadhani waliomfaham vizuri wanamuepuka kindumbilakuwili tuu
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Atuambie hayo maji anayatoa CHATO au kwenye hii arshi ya waTanzania wanaolipa kodi anapata hela za kutembea nazo kwenye kapu na kugawa atakavyo bila kupitia kwa Bunge . Huyu mtu atatupeleka kubaya na ndio maana tukimpa miaka 5 mi gine bila shaka atabadili katiba kwani ashadhani bila yeye Tanzania haipo.
WaTanzania kwanza.
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Huyu mtu hafai kabisa ni hovyo.
 
Maendeleo hayana chama means maendeleo hayabagui. Kama ni ndege si wanapanda, Umeme wanatumia, flyover twatumia sote. Inahitajika chama kuyaleta hayo maendeleo, na chama chenyewe ni CCM na sio vinginevyo.
Sawa ila maji wasipate kabisaaaaaaa
 
Funzo walilolipata CCM kwa kumsukumiza Mhutu hawatakuwa warudie tena . Jitu Lina roho ya ajabu sana . Yeye hapangiwi ila sisi wananchi wenye mamlaka yote ndio anatupangia ?
IMG_20200910_181034_6.jpg
IMG_20201002_081258.jpg
IMG_20201002_000058.jpg
IMG_20201001_235543.jpg
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Inabidi wananchi watafakari upya kuhusu ulipaji kodi
 
Inabidi hata kodi akachukue kwa hao
 
Kwahiyo ndugu shark a.k.a papa mwenye akili za kamongo ulitaka mgombea urais wa ccm amuombee kura mgombea ubunge wa upinzani? Hiyo michezo ya kutoeleweka upande wanayo wapinzani..
 
Anatakiwa aseme, mkinichagulia mpinzani sitachukua kodi zenu, hvyo kodi pelekeni kwa mbunge wenu awapelekee maji maana Mimi sitawaletea maji.

Huwezi sema hutawaletea maji na bado unachukua kodi zao.

Back
Top Bottom