Uchaguzi 2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

Hali inatisha
 
Tushazoea kunywa tope, kura zetu kwa Lussu
 
Kwa kuwa amekubuhu kwa kiburi na jeuri dawa yake saizi ni hiyo,akisema hayo maneno ya kibaguzi,kiitikio kiwe "maendeleo hayana chama" mbona atakoma
 
Hizo kauli zinathibitisha kuwa Magufuli is a country bumpkin!

Mtu atakaempa Magufuli kura yake ni mpumbavu
 

Huyu jamaa ni mshamba sana -By Nape Nnauye!
 
Wa kukurupuka, ndio wale wanaosoma notes alafu akifunika material yanayeyuka yote kichwan anaanza upya
 
"Leo nalala hapa ..ole wenu mninyime kura"

"maendelel hayana vyama...."

Msinichanganyie ..msinilte kachumbari"

Ila daaah[emoji2]
 

Jana naangalia taarifa eti anaongea kwa hasira kwenye kampeni😁 hili jambo haliitaji hasira kampeni ingekuwa miezi mitatu tungeona mengi

Tunapoelekea ata futa mfumo wa vyama vingi
 
Yanayotekelezwa yako kwenye irani ya chama cha mapinduzi inamaana ukichagua upinzani umeyakana yote yaliyomo.JPM tuko sahihi
 
umeme mdogo kichwani, alafu sehemu zenye wapinzani na maendeleo pia analopoka ni juhudi zake (mfano kigoma) kukiwa hakuna maendeleo analopoka kwamba si mlichagua upinzani (mfano jimbo la seleman bundara 'bwege') kifupi jamaa umeme wake kichwani hautoshi.
 


Anajiona kawa Mungu mtu.
 
usifanye kosa kuchagua upinzani.......wewe chagua CCM ili ujihakikishie maendeleo endelevu.......huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli....hapo hakuna kuremba. usijaribu kupoteza kura yako kwa upinzani.
Kama hilo jimbo lilikosa maji, barabara, na hospital zaidi ya miaka 50 na liko chini ya ccm leo ndio tubabaike, hataivo majibo yote yaliyo chini ya ccm bado yana matatizo hayohayo
 
Kauli chafu Kama hizi NEC kimya inakuaje mgombea anawafokea wapiga kura, utadhani nchi Ni baba yake. Kodi zetu uchukue wajibu wako usitimize hii si sawa
 
usifanye kosa kuchagua upinzani.......wewe chagua CCM ili ujihakikishie maendeleo endelevu.......huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli....hapo hakuna kuremba. usijaribu kupoteza kura yako kwa upinzani.
Yeyote mwenye akili ya kawaida tu,hataki hats kuwasikiene, nafasi uliyoipata mliitumia vibaya. Make njee mjifunze.
 
Wagombea aina hii ukiuka Sheria za tume.
Huo ni wizi kwa kuchukua Kodi za wananchi Kisha usiwapelekee maendeleo
 
Nataka niwaambie ukweli ndugu zangu,maana msema ukweli ni mpenzi wa 'mungu'.Hata wewe ukiwa na chakuka na kuna watoto wana njaa ni lazima kwanza uwape wa kwako na huwezi kuwapa wa jirani.

Hata baba Askofu akiwa na chakula ni lazima kwanza ale yeye hawezi kuwapa ma padre. Ni lazima niwaambie ukweli ndugu zangu. Na huo ndiyo ukweli.Na hii yote ni kwa sababu MAAENDELEO HAYANA VYAMA.
Uzi tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…