Uchaguzi 2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

Anatamani wapiga kura wa upinzani na wapinzani wake wafukuzwe Duniani.Siasa tamu aise hasa kama sio mhusika wake , unabaki kuenjoy 2.
 
Pia amesema watanzania mwaka huu wafanye mabadiliko makubwa ya kiuongozi lakini akasahau kuwa mabadliko makubwa yako nje ya sisiem na sivinginevyo .Amehaidi pia kuongeza mishahara mara dufu kwa watumishi wakati anaendelea kujenga miundo mbinu yake.
 
Hizi ni contrasting statements toka kinywa kimoja. Inawezekana huwa anapotezaga kumbukumbu hivyo hakunbuki ameongea nini. Ila TL ameshawaomba madaktari wa afya ya Mhe. Watuambie Mzee anatatizo gani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]askofu vs padrii
 
Your browser is not able to display this video.
Rashid Gwajimaa
 
Katuambia lazima Uchaguzi huu Tufanye Mabadiliko. Sisi tumemuelewa kabisa, na tunamuunga mkono katika hili la kuleta Mabadiliko nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…