Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Hata ufanyaje huteuliwi.....
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
wanaanza lini, siye wakazi wa katoro ni dili kwetu uwanja huo . Mwanza mbali
 
Safi sana watalii wataenda kwenye mazishi ZOO iitwayo BURIGI, sorry MBUGA ya Burigi
 
Kweli maendeleo, very soon Chattle itatangazwa kuwa jiji
 
Hata ndege zikisafiri tupu bila abiria poa tu, zitakuwa zinarejea nyumbani zionekane na wenyewe huku zikipasha moto injini baada ya kupark Dar miaka mingi. Musukuma Bus Service itajiju!
 
Zitaenda tupu na kurudi tupu. Huyo anayejiita mwendawazimu si ndiye alilazimisha CRDB wajenge branch kubwa pale kwa kudai kuna biashara matokeo yake wafanyakazi wa CRDB wanachapa usingizi ofisini na kucheza karata.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…