Wanao nufaika Ni wapiga dili wachache.Jo Mose,
Wakati unaandika kumbuka na sisi wasomaji humu wengi ni watanzania na ukweli unajulikana.
Usikariri alichofanya Mobutu.Handeni,manyoni,karagwe wanataka nao uwanja.
Je huo uwanja ndio vipaumbele vya wananchi wa chato,hofu Ni baada ya kumaliza mda uwanja utabakia wa kuanikia mazao,na kujifunzia kuendesha bodaboda.
Na usimnufaishe mwananchi
Frankly speaking ni kuwa mahusiano mazuri hupimwa kwenye vitu kadhaa, yaan upendo, haki, furaha, amani n.k.Umesema vyema ndugu Balimar.
Kwahiyo unamaanisha hata Kama Maendeleo yapo lakini Kama hakuna uhusiano mzuri basi maendeleo hayo hayaonekani.
Maswali
Je, kwa kusema hivyo unakiri kuwa Tanzania Kuna maendeleo?
Je, hakuna uhusiano mzuri?
Uhusiano huo ni Kati ya Nani na Nani?
Economic of scale haikuangaliwa but takwa la mtu binafsiUsikariri alichofanya Mobutu.
Tunayo hifadhi mpya ya burigi. Uwanja huo utakuwa chachu kwenye Kuboresha utalii. Isitoshe, uwanja huo utafungua zaidi fursa za kibiashara na kijamii kati yetu na Uganda.
Waungwana,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio mtaalamu wa uchumi Ila ninafahamu kuhusu maendeleo. Suala la maendeleo linatafsirika tofauti kutokana na mitazamo tofauti.
Hapa karibuni pamekuwa na kelele sana kuwa watanzania wanataka maendeleo yao (maendeleo ya watu) na siyo maendeleo.ya vitu.
Uzi huu uwe ni kujadili kati ya vitu hivyo viwili na mimi nitashiriki kama mchangiaji muongozaji.
Nini Kifanyike?
Amani Msumari
Tanga
Mimi shughuli zangu zinanichukua sehemu kubwa ya Tanzania, Tena vijijini. Nikiri kuwa hatujakuwa Kama ulaya bado Ila:Wanao nufaika Ni wapiga dili wachache.
Hakuna kipindi ambacho mtz ameishi maisha ya hovyo kuliko awamu hii tangu nchi hii kuumbwa angalau kwa Nyerere pana nafuu japo Napo watz walikula msoto hatari lkn awaifikii awamu hii
Maendeleo ya watu na vitu ni vitu vinavyoendana ila approach ya kuvifanikisha watu ndo wanapewa kipaumbele huku vitu navyo vikiwekewa msisitizo mkubwa!SWALI FIKIRISHI 1
Je, inawezekana kuwa na Maendeleo ya watu bila kuwa na maendeleo ya vitu?
Sawa. Hebu niambie ndugu Balimar, wewe binafsi, mke/mchumba/mpenzi, mama, baba, ndugu au jirani yako, ameathiriwaje na hayo mahusiano ambayo bado hujasema ni kati ya nani na Nani?Frankly speaking ni kuwa mahusiano mazuri hupimwa kwenye vitu kadhaa, yaan upendo, haki, furaha, amani n.k.
Kinapokosekana au kupungua mmojawapo kati ya hivyo uhusiano unaharibika.
Let's say una kampuni yako, tendo la kuwa na mahusiano mabaya tu linaporomosha kabisa efficiency hata kama unalipa vizuri, una advanced tekinologia, na reliable market utashindwa
Maendeleo ya vitu ni kitu dhahania, fikirishi na hayana ukomo, ila maendeleo ya watu ni mjumuiko mzima wa maisha ya familia, jamii koo au tamaduni flani katika kuishi kwa furaha na raha juu ya namna ya wanavyotaka kuishi bila kero yaani kwa uhuru usiowakwaza wengine.Nzuri sana hiyo. Ufafanuzi wako utapendeza ndugu Nkumbison
Maendeleo ya kweli katika vitu ni pale vitu hivyo vinapoendelea kumuendeleza mtu.Mimi shughuli zangu zinanichukua sehemu kubwa ya Tanzania, Tena vijijini. Nikiri kuwa hatujakuwa Kama ulaya bado Ila:
Ninakutana na nyumba nzuri vijijini
Ninakutana na umeme vijijini
Ninakutana na barabara zinazofumika (sio kila sehemu)
Usafiri imekuwa rahisi. Bodaboda kila sehemu
Huduma za fedha (tigo pesa, moesa, Airtel money, izy pesa, Halo pesa n.k kila sehemu
Huduma za kiafya. Zahanati Karibu Kila sehemu
Watu wanalima
Wanafanya biashara.
Ni kweli bado hatujafikia lengo lakini nilitarajia kuwe na ushauri wa tunavukaje zaidi
Vizuri Sana.Maendeleo ya vitu ni kitu dhahania, fikirishi na hayana ukomo, ila maendeleo ya watu ni mjumuiko mzima wa maisha ya familia, jamii koo au tamaduni flani katika kuishi kwa furaha na raha juu ya namna ya wanavyotaka kuishi bila kero yaani kwa uhuru usiowakwaza wengine.
Maendeleo ya watu yataangalia kipi kipo na kitatutoshaje wote katika kutatua changamoto zilizopo?, kipi tunaweza kukitumia katika mazingira yetu na kikatuboreshea maisha?
Kwahiyo katika kila stage yakuendelea huko tutajikuta na vitu vyakuviendeleza vitakuja automatic tena itakua ni kwa ulazima wa kufanya hivyo.
Tujiulize kwanini kadri maendeleo ya vitu yanavyozidi kuendelea maisha yenye unafuu yanabaki kwenye kukumbukwa tuu.?
Na pia kadri tunavyoishi vitu tunavhoviona ni vyakimaendeleo vinageuka na kuwa ni sehem ya maisha ya kawaida hivyo tunajikuta bado hatujaendelea ingawa mahitaji na huduma ya kitu hicho hubaki palepale zaidi ni gharama huongezeka...
So maendeleo ya watu ni kuwa na uhakika wakuishi kutokana na mazingira yako kwa uhuru wako na haki yako. Utakapokwama ndipo kitu cha maendeleo kitakukomboa kwa muda huo ila kikiweza kutatua Kero husika kinakua sio maendeleo tena ni sehem ya maisha.
MAENDELEO YA VITU YAJE PALE YANAPOHITAJIKA KWA LAZIMA KATIKA MAENDELEO YA WATU.
Vitu visubiri watu walioendelea wanataka nini....
Sio maendeleo ya Vitu yasubiri watu watavitumia lini.
Umeongea kinyume. Wanaoumia sasa ni wapiga diliWanao nufaika Ni wapiga dili wachache.
Hakuna kipindi ambacho mtz ameishi maisha ya hovyo kuliko awamu hii tangu nchi hii kuumbwa angalau kwa Nyerere pana nafuu japo Napo watz walikula msoto hatari lkn awaifikii awamu hii
Economic of scale haikuangaliwa but takwa la mtu binafsi
USA wangekuwa na akili kama zako wala wasingekuwa inchi iliyoendelea dunianiMaendeleo ya kweli katika vitu ni pale vitu hivyo vinapoendelea kumuendeleza mtu.
Kuna sehemu watu wanafunga biashara zao kisa tuta la ujenzi wa Treni ya mwendo kasi limewatenganisha na wateja wao sehemu ambayo wangeweza kupitisha nguzo kama Dar na watu wakaendelea na shughuri zao.
Sasa mtu aliyefunga biashara utamwambia ujenzi wa reli una maendeleo gani kwake, na wako wangapi?
Ethiopia tutafanya rejea ila kwasasa ni muhimu tuangalie Tanzania yetu maqna ndio nchi yetu na hatuna nchi nyingineWaswali yako ni mazuri, ila tafuta watu wa Ethiopia wanawaza kukujibu maswali yako vizuri.
Fafanua tafadhali huenda nikapata cha kujifunzaUSA wangekuwa na akili kama zako wala wasingekuwa inchi iliyoendelea duniani
Sahihi na hilo ndilo linalofanywaMaendeleo ya watu na vitu ni vitu vinavyoendana ila approach ya kuvifanikisha watu ndo wanapewa kipaumbele huku vitu navyo vikiwekewa msisitizo mkubwa!
Madhara huwa hayakosekani mkuu.Maendeleo ya kweli katika vitu ni pale vitu hivyo vinapoendelea kumuendeleza mtu.
Kuna sehemu watu wanafunga biashara zao kisa tuta la ujenzi wa Treni ya mwendo kasi limewatenganisha na wateja wao sehemu ambayo wangeweza kupitisha nguzo kama Dar na watu wakaendelea na shughuri zao.
Sasa mtu aliyefunga biashara utamwambia ujenzi wa reli una maendeleo gani kwake, na wako wangapi?
Ethiopia tutafanya rejea ila kwasasa ni muhimu tuangalie Tanzania yetu maqna ndio nchi yetu na hatuna nchi nyingine