Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
Ninachojua vitu huleta maendeleo ya watu,watu wakipata maendeleo wataleta vitu hata mandege kama fastjest walivyofanyaga.
vitu bila kuwawezesha watu ni kazi bure.
Ukienda vijiji amabpo hakuna maendeleo ya vitu hao watu hata kama wana fulaha ni ya kushiba tu chakula laikini watakuwa duni sana.
Mfano kijijini amabapo hakuna maji safi umeme, barabara ya rami, hao watu hata waoge vipi utakuta wachafu na ngozi zao sio nzuri, hata sura zao unakuta zimekomaa sana uatafikili ni wazee.
Hata nyuma zao hata kama zina vigae lakini utakuta kochi na assets zilizomo ni chafu.