Maendeleo ni nini? Ukweli kuhusu maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu

watu wakipata maendeleo wataleta vitu hata mandege kama fastjest walivyofanyaga.
vitu bila kuwawezesha watu ni kazi bure.
Ninachojua vitu huleta maendeleo ya watu,
Ukienda vijiji amabpo hakuna maendeleo ya vitu hao watu hata kama wana fulaha ni ya kushiba tu chakula laikini watakuwa duni sana.
Mfano kijijini amabapo hakuna maji safi umeme, barabara ya rami, hao watu hata waoge vipi utakuta wachafu na ngozi zao sio nzuri, hata sura zao unakuta zimekomaa sana uatafikili ni wazee.
Hata nyuma zao hata kama zina vigae lakini utakuta kochi na assets zilizomo ni chafu.
 
Nchi zote zinazoitwa zimeendelea, Zina maendeleo ya vitu yaliyoleta maendeleo ya watu.

Nchi zote hizo, Zina huduma za afya nzuei, huduma za elimu Bora, wanna miundombinu ya usafiri mizuri, wana ndege, treni, magari, viwanja vya ndege vingi n.k

SWALI

Unadhani wamewezaje kutoa huduma zote hizo Kama hawana uchumi mzuri

Uchumi mzuri unaletwa na nini?

Uwekezaji mzuri huleta uchumi mzuri. Tanzania inajitahidi Sana kuhakikisha huduma nzuri zinapatikana Hulu uwekezaji uliendelea
 
Hilo Sasa ni suala la kiuongozi. Kama wanapata kipato kizuri ilipaswa Sasa wawekeze kwenye huduma za kijamii
 
Maswali yako ni mazuri, ila tafuta watu wa Ethiopia wanawaza kukujibu maswali yako vizuri.
Hao watu wa ethiopia ni wangapi wasio kuwa na raha?
Kuna watu huko nao hawajui kuwa kuna shida
Ni sawa na hapa tanzania kwamab hakuna haki, kuna watu amabo wameamua kupambana na serikari, sasa hao lazima wataona hawana haki.
Lakini kuna watu amabo hawana muda na mapambano na serikari, wao wanafanya mambo yao, sasa manataka hata ambao hawana muda huo nao waone hawako huru.
 
Unahitaji kuinua uwekezaji wa ndani ili Kukuza ajira na kuinua kipato cha serikali na wananchi
Your browser is not able to display this video.
 
Vyombo vya habari vipo huru!?
Watu wapo huru kutoa maoni yao hadharani bila kupata madhara yoyote kutoka Serekalini!!
Kwa nini TL alipigwa risasi!?
Kwa nini watu walitekwa sana na wengine kupotezwa Ben Saanane!?
Je kuna uwanja huru wa kufanya biashara!
Je kuwaweka wa machinga kila mahali bila mpangilio kisa tu ana kitambulisho ndio maendeleo!?
 
Ila wote msoto Ni mmoja upambane usipambane
 
Sasa watu wasipokuwa na maendeleo hayo majidege yatapandwa na nani
 
Mimi navyojua maendeleoa ya vitu yaendane sambamba na maendeleo ya watu, kwani hakuna faida yoyote kuwa na vitu wakati, wakati watu wana hali ngumu
 
Ukifikiria kweli hivyo vitu ni vyakuhimizwa au vilidumazwa kwa kuitumia nguvu kazi ya eneo moja kwa maendeleo ya vitu vya eneo lingine?
 
1. Vyombo vya habari viko huru na ndio maana tuna magazeti, vituo vya running, tv za mtandaoni kibao na zinafanya kazi.
2. Kila mtu yupo huru kutoa maoni yake bora tuu maoni hayo yasiende kinyume na sheria za nchi
3. Kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi Hilo silijua ila inaweza kuwa mambo mengi
a. Maadui wake wa kisiasa ndani na nje ya chama
b. Maadui wa nje ya nchi
c. Maadui anaowatengeneza kutokana na kazi zake za kisheria
Sababu ni nyingi
4. Sababu za watu kutekwa pia zinaweza kuwa nyingi. Kuna muda unaweza kuta ni kuihujumu tuu serikali.
5. Watu wako huru sana kufanya biashara. Rais Magufuli aliwaalika ili kuongea nao na kumaliza changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…