Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
- Thread starter
-
- #81
Kaka bunge letu ndio kazi yake hiyo ila viongozi wa Upinzani hupotoshaNdiyo, maendeleo ya vitu yanaweza kunufaisha ama kuchochea maendeleo ya watu, na vivyo hivyo maendeleo ya watu yanaweza kuchochea maendeleo ya vitu. Kinachohitajika ni kuweka mizania. Na mizania unaweza kuiweka kwa kuinyabua dhana ya 'maendeleo' na kuwa 'maendeleo endelevu'. Hitaji la msingi la 'Maendeleo endelevu' ni 'maendeleo shirikishi', yaani pale ambapo wananchi (ambao ni walipa kodi, wadau wa maendeleo) hushirikishwa katika maamuzi ya vipaumbele kupitia wawakilishi wao (ambapo kwa Tz ni kupitia Bunge la JMT au Baraza la SMZ). Serikali hupeleka hoja ya maendeleo bungeni, hoja hujadiliwa kwa kina (palipo na vichwa vingi hapaharibiki jambo) na hatimaye muafaka hufikiwa kuhusu kipi kipewe kipaumbele na kwa namna gani. Kufikia hatua hii, haya ni maamuzi ya wananchi, na kinachotokea wote hujivunia au hujihisi ni 'mali yao' (sense of ownership) na hivyo hutumia kila jitihada kuyalinda na kuyaendeleza kwa namna yo yote ile sio tu kwa ajili ya wakati uliopo, bali pia kwa vizazi vijavyo.
Sasa kwa bahati mbaya, utamaduni wa 'maendeleo' wa Tanzania ya Magufuli ni kwamba maamuzi ya vipaumbele na utekelezaji wake ni jukumu la Rais. Rais pekee. Rais ndiye alfa na omega, ndiye mwanzo na mwisho wa mustakabali wa jamii. ni mungu mdogo. Rais ndiye anajua waTz wanataka nini na sivinginevyo na anayepinga ni msaliti, ni kuadi wa mabeberu (ikipatikana fursa aondolewe uhai wake). Rais ndiye apewe open check na asiulizwe vipi (japokuwa historia ya utendaji wake akiwa waziri inaonesha ni hatari tupu mtu kama huyu kumpa open check). Bunge kazi yake ni kusifia na kucheza mdundiko - uwe utopolo au la maana. Historia ya binadamu inadhihirisha kuwa maamuzi ya kichwa kimoja hayajawahi kuwa na tija. Matokeo yake wananchi wakiwa wamenyong'onyea kwa unyonge (kama ambavyo amewabatiza - wanyonge) wanaangalia kila kitu ni cha Magufuli, ndege za Magufuli, barabara za Magufuli (of course, yeye hulka yake inamtuma afurahie hiyo hali) lakini kimsingi ni matumizi mabaya ya madaraka na wananchi hawataacha kulalamika na kupinga ama chini chini au kwa uwazi. Haishangazi anaanza kuwatishia tena bila soni walipaji kodi kuwa wasipochagua wagombea wa chama chake, basi watajuta (Chagua CCM au chagua majuto) - hatawaletea 'maendeleo'. Wadau wengi wameeleza humu humu, JF - ni hatari isokifani kuwa na Rais ambaye amekaa madarakani miaka mitano lakini hajui au anajifanya kutojua wajibu wa urais, na hata wajibu wa mbunge!!!! Na wananchi tunashangilia!!!
Ufafanuzi kuntuNi rahisi kuongea hivyo km umezaliwa 90s. Uhalisia ni vitu ndo vinawaletea watu maendeleo. Kipindi cha nyuma hakukuwa na miundombino hivyo usagirishaji wa watu na malighafi ulikuwa mgumu sana. Wengi walishindwa kufanya biashara nje ya MIKOA au Wilaya zao, kwa mf. Mazao ya mboga mboga huwezi safirisha kwa siku 2 yasiharibike.
Gharama za maisha nazo zilikuwa juu kwa sababu ya gharama za usagirishaji, mf. Vifaa vya ujenzi kutoka Kiwandani mpaka kwa mlaji bei inakuwa mara 3.
Hatukuwa na wataalam wa sayansi kwa sababu hakukuwa na miundo msingi ya maabara katika shule achilia mbali hao waalimu.
Kwa ufupi, ni kujitoa ufahamu tu kukataa uendelezaji wa vitu eti uwezeshe watu. Kwa mchango wako, hizo fast jet zingegua wapi km hamna viwanja?
sio mtazamo wangu analysis za kichumi ndo zinaonyesha hivyo mkuu!Hapana, huo ni mtazamo wako tuu
Ni uamuzi sahihi. Pengine utakuja kuelewa baadaesio mtazamo wangu analysis za kichumi ndo zinaonyesha hivyo mkuu!
Uzuri umekiri kuwa hujui chochote kuhusu uchumi ngoja nikuache na mtazamo wako!Ni uamuzi sahihi. Pengine utakuja kuelewa baadae
Blac kid kunilisha maneno huko vipi?Uzuri umekiri kuwa hujui chochote kuhusu uchumi ngoja nikuache na mtazamo wako!
Sijakulisha ila paragraph yako ya kwanza umekiri mwenyeweBlac kid kunilisha maneno huko vipi?
Niliandika, nanukuu " Mimi sio mtaalamu wa uchumi". Sikusema sijui chochote kuhusu uchumi.Sijakulisha ila paragraph yako ya kwanza umekiri mwenyewe
Hao wote nimewasoma. Nadhani watu wengi pia wamewaso a kwani katibu wote hao uluowataja vitabu vyao vinatumika kama rejea kwenye kozi ya lazima, development/general studies kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu.Wanaanza wetu vitu vitafuata baadaye ,Kuna definion nyingi na falsafa nyingi za uchumi hii ya watu is the best , ukimsoma Nyerere ,Walter Rodney ,Sally Wehmeir ,Paul Freire na wengine wengi.
Umesema vizuri ndugu Kilatha
Wasikilize hao wakulima wa mbogamboga Lushoto walivyokuwa wanapata tabu kuuza mazao yao awali kwa sababu ya changamoto za usafiri mpaka ilipo jitokeza hiyo kampuni ‘MacLeans BeneCIBO’ kwenda kufuata hayo mazao wao wenyewe huko huko shambani.
MacLeans BeneCIBO ipo based in Dar Es Salaam unadhani wangefika Lushoto bila ya miundombinu au hata wangevutiwa na uwekezaji bila ya access ya bidhaa.
Sasa utasemaje mkulima aguswi moja kwa moja na hiyo barabara inayomfanya mfanyabiashara amfikie.
Nina uhakika story ni nyingi za economic impact ukienda Geita kwa wakulima wa mananasi mpaka Mtwara wanapolima korosho; ukisema utafute historical data za uwezo wa wakulima kuuza mazao yao sehemu nyingi kabla ya uwepo wa barabara na baada ya kuwekewea barabara utaona tofauti.
Some ppl are just ungrateful by nature, au wanasahau haraka sana.
Haya ni miongoni mwa mafanikio ya serikali ya awamu ya tano katika kilimo. Hayo yamewezekana kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji.
Wasikilize hao wakulima wa mbogamboga Lushoto walivyokuwa wanapata tabu kuuza mazao yao awali kwa sababu ya changamoto za usafiri mpaka ilipo jitokeza hiyo kampuni ‘MacLeans BeneCIBO’ kwenda kufuata hayo mazao wao wenyewe huko huko shambani.
MacLeans BeneCIBO ipo based in Dar Es Salaam unadhani wangefika Lushoto bila ya miundombinu au hata wangevutiwa na uwekezaji bila ya access ya bidhaa.
Sasa utasemaje mkulima aguswi moja kwa moja na hiyo barabara inayomfanya mfanyabiashara amfikie.
Nina uhakika story ni nyingi za economic impact ukienda Geita kwa wakulima wa mananasi mpaka Mtwara wanapolima korosho; ukisema utafute historical data za uwezo wa wakulima kuuza mazao yao sehemu nyingi kabla ya uwepo wa barabara na baada ya kuwekewea barabara utaona tofauti.
Some ppl are just ungrateful by nature, au wanasahau haraka sana.
Kwa kuwa umekwisha yapangia macho yako vitu vya kuona basi endelea hivyo hivyoMimi shughuli zangu zinanichukua sehemu kubwa ya Tanzania, Tena vijijini. Nikiri kuwa hatujakuwa Kama ulaya bado Ila:
Ninakutana na nyumba nzuri vijijini
Ninakutana na umeme vijijini
Ninakutana na barabara zinazofumika (sio kila sehemu)
Usafiri imekuwa rahisi. Bodaboda kila sehemu
Huduma za fedha (tigo pesa, moesa, Airtel money, izy pesa, Halo pesa n.k kila sehemu
Huduma za kiafya. Zahanati Karibu Kila sehemu
Watu wanalima
Wanafanya biashara.
Ni kweli bado hatujafikia lengo lakini nilitarajia kuwe na ushauri wa tunavukaje zaidi
Huwezi kuona kisichoonekana. Hiyo inawezekana tuu katika ulimwengu was kiroho.Kwa kuwa umekwisha yapangia macho yako vitu vya kuona basi endelea hivyo hivyo
Lakini ujue kabisaa kuna siku utaujua ukweli
Hivi leo unaanzaje kumwambia mwanao asome ili hali hajui hatima yake?
Hivi miradi yopte hiyo bajeti yake huwa ikoje?
Kwenye hiyo miradi maendeleo yakoje ya mtu mmoja mmoja?
Ndiyo, maendeleo ya vitu yanaweza kunufaisha ama kuchochea maendeleo ya watu, na vivyo hivyo maendeleo ya watu yanaweza kuchochea maendeleo ya vitu. Kinachohitajika ni kuweka mizania. Na mizania unaweza kuiweka kwa kuinyabua dhana ya 'maendeleo' na kuwa 'maendeleo endelevu'. Hitaji la msingi la 'Maendeleo endelevu' ni 'maendeleo shirikishi', yaani pale ambapo wananchi (ambao ni walipa kodi, wadau wa maendeleo) hushirikishwa katika maamuzi ya vipaumbele kupitia wawakilishi wao (ambapo kwa Tz ni kupitia Bunge la JMT au Baraza la SMZ)....
Nakwambia tena magufuli kipaumbele chake ni vitu sio watu, wachumi preferred list za kufanywa na serikali cha kwanza wamekazia economic growth, pili equity inakuja human liberty mengine ndo yanafuata, so economic growth in term per capita, ipo bounded na sectors tatu, ambazo ni agriculture, industry na influstructure, wachumi wakazitegorise ktk leading sectoral ambapo wakakazia kipaumbele kiwekwe ktk kilimo na viwanda ila miundombinu nayo ipewe msisitizo, kwanini leading sectoral zimepewa kilimo na viwanda? Ni kwa sababu zinahusisha direct production na GNI per capita inaletwa inakuzwa na sector ambazo ni zinadili na uzalishaji wa moja kwa moja ambayo ndo maendeleo ya watu sasa. Haya magufuli kipaumbele chake ni miundombinu ambayo ndo maendeleo ya vitu, kwanini unakomaa kuwa magufuli kipaumbele chake ni maendeleo ya watu wakati sekta za kilimo na viwanda hana habari nazo kabisa?Niliandika, nanukuu " Mimi sio mtaalamu wa uchumi". Sikusema sijui chochote kuhusu uchumi.
Serikali ya awamu ya tano iko serious Sana na viwanda jombiiNakwambia tena magufuli kipaumbele chake ni vitu sio watu, wachumi preferred list za kufanywa na serikali cha kwanza wamekazia economic growth, pili equity inakuja human liberty mengine ndo yanafuata, so economic growth in term per capita, ipo bounded na sectors tatu, ambazo ni agriculture, industry na influstructure, wachumi wakazitegorise ktk leading sectoral ambapo wakakazia kipaumbele kiwekwe ktk kilimo na viwanda ila miundombinu nayo ipewe msisitizo, kwanini leading sectoral zimepewa kilimo na viwanda? Ni kwa sababu zinahusisha direct production na GNI per capita inaletwa inakuzwa na sector ambazo ni zinadili na uzalishaji wa moja kwa moja ambayo ndo maendeleo ya watu sasa. Haya magufuli kipaumbele chake ni miundombinu ambayo ndo maendeleo ya vitu, kwanini unakomaa kuwa magufuli kipaumbele chake ni maendeleo ya watu wakati sekta za kilimo na viwanda hana habari nazo kabisa?
Kwa tanzania hii uliona wapi mtu binafsi tajiri akajenga barabara ya lami ata kwa km 1 iwe kwa matumiz ya umma?watu wakipata maendeleo wataleta vitu hata mandege kama fastjest walivyofanyaga.
vitu bila kuwawezesha watu ni kazi bure.
Nimeupenda sana mchango wako. Ni kweli, Mwenyezi Mungu, mwingi wa fadhila na rehema anbaye kwake tunajivunia mambo mema, yeye aliumba kwanza vitu ambavyo ni mito, maziwa, ardhi, mimea, wanyama n.k. Aliporidhika ndio akaumba mtu ambaye atatawala na kuvimiliki vitu.Kwa tanzania hii uliona wapi mtu binafsi tajiri akajenga barabara ya lami ata kwa km 1 iwe kwa matumiz ya umma?
Weka vitu kwanza (miundo mbinu) ili iwe chachu ya maendeleo ya watu.
Serikali inapoweka maendeleo ya vitu ni kuwa inawagusa raia moja kwa moja mwenye nacho na hasiyekuwa nacho.
Mwenyezi Mungu mwenyewe aliumba vitu akaweka mito,akaweka bahari, akaweka miti nk. Kisha ndo kamuumba mwanadamu.