Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,629
- 5,347
Alivyodai ila sikuwahi kwenda kupaangalia...Kwenye Estate kabisa...?
Alivyodai ila sikuwahi kwenda kupaangalia...Kwenye Estate kabisa...?
Mkuu bei za huko zikoje...???maana me ninacho cha kwangu cha ekari 5 maeneo ya Nguuni mwisho wa haice sehemu moja wanaita Katanini ambacho nafikiria kufanya ufugaji baada ya Ku drill maji.Ndo nimekanunua mkuu....Chini kidogo ya Gomba Estate.....
Huko ndio nafikiri nitakuja kuhamia hapo baadae
Mkuu fanya utalii wa ndani picha yaweza kukudanganyaBila picha ni upuuzi
Nenda BBC Africa/innovationBila picha ni usumbufu tu
Arusha bado Sana,Mbona unawivu mkuu hayo maneno sio ya yangu ni ya Raisi mstaafu wa Marekani Clinton. Alafu usijefika stend ya Arusha ukadhani umefka Arusha mkuu. Arusha imejengwa pembezoni huko hifadhini huko nenda Duluti, Mount Meru, Ngorongoro huko ukajionee majengo ya Nyota tano na uzuri wa Arusha
Lete picha ya barabara kama hizi nje ya Dar ...
Arusha bado Sana,
Kwanza rate ya kukua kwake ni hasi.
Huko pembezoni unakosemea kujengwa ndo migomba tu
Mipaka ya jiji la arusha hua inanichanganya Sana, eti ilboru iko arusha dc na mianzini nafikiri iko dc piaHaha hapo ni mgogoro wa mpaka kati ya arusha jiji na arusha vijijin
Lami imepigwa na arusha vijijini ila kipande ambacho hakina lami ni mita 200 za jiji la arusha....
Hiyo ni moja ya changamoto za mpaka kati ya jiji na vijijini
We unaonekana hata familia unatoka ni maskini, una view za kimaskini maskini sana, learn to appreciate beautifully thingsKwa hyo kuspeak fluent English kwako ni big deal?
Na kwataarifa huko migombani ardhi ndio haikamatiki..Arusha bado Sana,
Kwanza rate ya kukua kwake ni hasi.
Huko pembezoni unakosemea kujengwa ndo migomba tu