Maendeleo ya haraka ya jiji la Arusha a.k.a Geneva ya Afrika ni mfano wakuigwa

Maendeleo ya haraka ya jiji la Arusha a.k.a Geneva ya Afrika ni mfano wakuigwa

My concern ni kuwa kwanini mnaiona ni big deal wakati ni lugha km zilivyo nyingine unaweza jifunza na kuizungumza kwa ufasaha baada ya muda mfupi tu!!!? Maana kwa jinsi mnavyoizungumzia utadhani kuwa kuijua ni lazima uwe na akili sana za kiwango cha dunia!!! Ndyo maana nikauliza, "whats the big deal"
Sasa kinachofanya msijifunze mkaijua lugha vizuri ni nini mpaka wakenya na waganda wawaache mbali.. Au unaongea kama mganga wa kienyeji. Acha wivu wa kitoto
 
Ukiona unakaa mtandaoni kubishana na mtanzania mwenzako kwamba mkoa wako ni bora kuliko mkoa mwingine ujue una safari ndefu sana kuelekea kukomaa kiakili.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Navyozungumza na wewe npo stand kupokea mgen. Tembea brother wangu
Sasa wewe wa kupokea mgeni stand utazijua mall kweli mkuu bora ingekua airport... No offense lakini mkuu ni vile nashangaa hujui mall Arusha
 
Ingia google andika Geneva of Africa uangalie kama itaandika Arusha au Mombasa
Google ni search engine inatafuta na kukupatia majibu ya kile kilichoandikwa na blog na website mkuu.
Wewe unasachi chato unategemea uikose wakati inaandikwa kila uchao
 
Mbona unawivu mkuu hayo maneno sio ya yangu ni ya Raisi mstaafu wa Marekani Clinton. Alafu usijefika stend ya Arusha ukadhani umefka Arusha mkuu. Arusha imejengwa pembezoni huko hifadhini huko nenda Duluti, Mount Meru, Ngorongoro huko ukajionee majengo ya Nyota tano na uzuri wa Arusha
Huyo mtoa mada kafika na mikoa mingine pia sksona, ama anaonfelea upande mmoja tu?.
 
Sasa hivi tunakuja na miundombinu ya maji taka jiji zima , yaani mtu unaharisha kwa choo kitu mharo kinateremshwa hadi dampo, kudadadeki hii ndio arachuga
Kinateremwa mpaka Olokiii chini ya Mkonoo..ila ujenzi wa nyumba na viwanja vya Arusha ni tabu sana..
 
Kwa hyo kuspeak fluent English kwako ni big deal?
Kafie mbali.... Kuspeak english ndo big nini sada... Wachina wasioongea english umewazid nn, mbona ukoloni hauwaishi nyie watu... Hiyo lugha tu tu kama lugha zingine
 
Aim Mall, Njiro Complex, Sable Square, TFA Complex
ndo yale yale ya msanii darasa kumuelimisha chizi unajipa kazi.
ukimwamsha aliyelala utalala mwenyewe tusibishe tuu tutafiti hata kama hayakuhusu ila yatakusaidia
panakua Arusha kwa hali ya kuridhisha
 
Kafie mbali.... Kuspeak english ndo big nini sada... Wachina wasioongea english umewazid nn, mbona ukoloni hauwaishi nyie watu... Hiyo lugha tu tu kama lugha zingine

Ulivyoandika hapa inaonyesha kabisa...Kiswahili hujui na kiingereza hujui!

Kunywa maji ukajipange upya. Vinginevyo msaada wako kwenye taifa itakuwa kuongeza idadi ya kura za CCM tuu!
 
Huenda hujui sifa ya Geneva, pole!
Siongei pumba mkubwa soma haya maneno alafu unipe sifa mfanano kati ya arusha na geneva.
Geneva is a global city, a financial centre, and a worldwide centre fordiplomacy due to the presence of numerous international organizations, including the headquarters of many agencies of the United Nations[6] and the Red Cross.[7] Geneva hosts the highest number of international organizations in the world.[8] It is also where the Geneva Conventions were signed, which chiefly concern the treatment of wartime non-combatants and prisoners of war.
In 2017, Geneva was ranked as the world's fifteenth most importantfinancial centre for competitiveness by the Global Financial Centres Index, fifth in Europe behind London, Zürich, Frankfurt and Luxembourg.[9] A 2009 survey by Mercer found that Geneva has the third-highest quality of life of any city in the world (behind Vienna and Zürichfor expatriates; it is narrowly outranked by Zürich).[10] The city has been referred to as the world's most compact metropolis[11] and the "Peace Capital".[12] In 2017, Geneva was ranked as the seventh most expensive city in the world.[13] Geneva was ranked third inpurchasing power in a global cities ranking by UBS in 2018
 
..mbona mapato kitaifa bado yako chiniii? baadhi ya maeneo machafuuu na yanashusha hadhi ya R-chuga
 
Back
Top Bottom