eennko
Member
- Oct 25, 2015
- 96
- 81
Tanzanite ni mkoa mwingineLakini kumbuka Tanzanite za magumashi hazipo tena, wamebakia watalii tu
Tanzanite ni mkoa mwingineLakini kumbuka Tanzanite za magumashi hazipo tena, wamebakia watalii tu
Sikuangalizia Youtube ila naitafuta nikipata nawekaHebu naomba link haya ya youtube nikaangalie
My concern ni kuwa kwanini mnaiona ni big deal wakati ni lugha km zilivyo nyingine unaweza jifunza na kuizungumza kwa ufasaha baada ya muda mfupi tu!!!? Maana kwa jinsi mnavyoizungumzia utadhani kuwa kuijua ni lazima uwe na akili sana za kiwango cha dunia!!! Ndyo maana nikauliza, "whats the big deal"Kiingereza sio lugha kama zilivyo lugha zingine ina upekee wake.
Sasa unataka kukifananisha kiingereza na Kisukuma mkuu?
Hoja ni wajasiriamali wa Arusha wameweza kutengeze product na kuweza kuzieleza kwa lugha ambayo hata kama kuna Mwiingereza aliyekuwa anamsikiliza amemwelewa.
-Hata kama kuna mkorea leo alikuwa anasikiliza BBC kamwelewa. Na hili ni jambo zuri saana. Assume angeongea kijaluo?
My concern ni kuwa kwanini mnaiona ni big deal wakati ni lugha km zilivyo nyingine unaweza jifunza na kuizungumza kwa ufasaha baada ya muda mfupi tu!!!? Maana kwa jinsi mnavyoizungumzia utadhani kuwa kuijua ni lazima uwe na akili sana za kiwango cha dunia!!! Ndyo maana nikauliza, "whats the big deal"
Unaifahamu Arusha? Au Na Wewe Uonekane Umechangia tuGeneva gan haina hata known Shopping Mall.
Achana Nae HuyoAim Mall, Njiro Complex, Sable Square, TFA Complex
Lete picha ya barabara kama hizi nje ya Dar ...Mkuu hizo barabara zipo kila sehemu sasa hivi sio kana kwamba nina wivu, Nenda singida mpaka uchochoroni na taa juu, dodoma hata sisemi, mwanza nanyamaza kabisa, mara mpaka kero, bukoba ni hatari
NB: MAENEO YOTE NILIYOYATAJA MKUU NIMEYATEMBELEA MWEZI ULIOPITA ZIARA YA KIKAZI
ALAFU SIJUI KINACHOONGELEWA HAPA NA HAWA VIJANA NI NINI..!!S
Achana na hicho kipande yaani hiyo lami yenyewe ukipanda juu kidogo kama kilometer moja unakuta vumbi
Mimi nilikuwa kwenye gari pale ofisi za fastjet naenda KIA nilishuhudia machinga akimshawishi mzungu kununua bidhaa zake kwa kiingereza kilichonyooka hadi mzungu akaingia kingi! Ingekuwa machinga wa Dar asingejiangaisha hata kumsogelea ...Leo BBC walikuwa na programme ya innovation. Nimeiogopa Arusha. Watu wamegundua jinsi ya kukausha matunda na mboga kwa kutumia majiko au drier zinazoendeshwa na solar, wameweza kugundua jinsi ya kutengeneza mafuta ya parachichi na yanakuwa as pure as coconut oil!!!! Big up Wajasiria mali wa Arusha and they were speaking in fluent English not colloquial one. Big up wana Arusha.
Sodoma na GomoraArusha ikiwa Geneva ya africa mombasa itakuwa nini?
mkuu hiyo imekaa vibaya sana, ni hatua 100 kutoka main road na traffic lights, wanadai eti ni mpaka wa Arusha Dc na Munispaa, so hicho kipande cha lami kiko Wilaya nyingineHiyo barabara ni shida na bado hawajaweka ukoka wakiweka patakuwa balaa tupu. Sema hii ya mianzini kupanda juu ndo kama sijaelewa maana wamepiga lami kipande kidogo tu alafu wakaacha
na nimesikia mwenge ndo ulizindua.
ndio hiyo mitaro mnachimba?Sasa hivi tunakuja na miundombinu ya maji taka jiji zima , yaani mtu unaharisha kwa choo kitu mharo kinateremshwa hadi dampo, kudadadeki hii ndio arachuga
We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbua
My concern ni kuwa kwanini mnaiona ni big deal wakati ni lugha km zilivyo nyingine unaweza jifunza na kuizungumza kwa ufasaha baada ya muda mfupi tu!!!? Maana kwa jinsi mnavyoizungumzia utadhani kuwa kuijua ni lazima uwe na akili sana za kiwango cha dunia!!! Ndyo maana nikauliza, "whats the big deal"
Umetembelea lini Arusha jamaa.... Watu mko nyuma sanaGeneva gan haina hata known Shopping Mall.