Maendeleo ya haraka ya jiji la Arusha a.k.a Geneva ya Afrika ni mfano wakuigwa

We nae ndyo wale wale wanaoumwa ugonjwa wa colonial mindset disorder ....angeongea kichina wala msingeshoboka kiivi!
Mwandiko wako unaonyesha ni mtu wa aina gani.

Hata heshima kwenye uchaguzi wa maneno katika maandiahi yako hauna.
 
Big deal sababu sasa hivi watu wangapi wanaweza kwenda kuongea kwenye chombo kama BBC bila mkalimani? Watu hawajiamini ila hawa vijana wa Arusha wanaweza kuongea ngeri, ung'ee bila shida. Kama umeona wivu kafie mbali ndiyo maana maofisini na vitengo vingi tumejaza watu wa Kenya na Uganda mpaka watoto wetu wanafundishwa na hao watu kisa, mnaona kuonge ung'e ni aibu kumbe wavivu.
We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbua
 
Mwandiko wako unaonyesha ni mtu wa aina gani.

Hata heshima kwenye uchaguzi wa maneno katika maandiahi yako hauna.
Na wewe kuniambia naona wivu unaona umetumia lugha sahihi!!
 
Ni sifa iliyotokana na maandishi yako.

Sasa wewe unaona kiingereza kusifiwa ni mental disorder unashindwa kun'gamua kiingereza ni lugha yenye umuhimu mkubwa saana.

-Hauoni kwenye shule zetu tumejaza wakenya na waganda unafikiri tu wajinga.

-Kuanzia sekondari tunakisoma unafikiri tu wajinga eti! hata hao wachina unaowataja nao wanakisoma.
 
Nilipita na mzungu flan kwenye ile barabara mpya kuanzia ngulelo mpaka tengeru akanambia panafanana sana na Rio Di Janeiro. Kweli Arusha inapendeza
Ile double road tuache utani ,Mkwere ana mapungufu yake ila pale kafanya la maana sana .
 
Bila kapicha ni sawa na kumfyatua mwanamke kwenye giza totoro
Picha hii hapa makazi mapya ya kisasa Morombo
FB_IMG_1539146516384.jpg
 
Ni sifa iliyotokana na maandishi yako.

Sasa wewe unaona kiingereza kusifiwa ni mental disorder unashindwa kun'gamua kiingereza ni lugha yenye umuhimu mkubwa saana.

-Hauoni kwenye shule zetu tumejaza wakenya na waganda unafikiri tu wajinga.

-Kuanzia sekondari tunakisoma unafikiri tu wajinga eti! hata hao wachina unaowataja nao wanakisoma.
We!.hunielewi kwangu mimi kiingereza ni lugha km lugha nyingine, nimeshangazwa na hyo mdau kuona kiingereza big deal mpaka anamsifia mtu eti anaongea fluent!.....wakati ukweli ni kuwa kuna vitoto vipo darasa la kwanza na vinaongea fluent. Nenda kenya hadi machokoraa wanaiongea hyo lugha vizuri kbsa!!.ndyo nikamuuliza whats the big deal?
 
Kumbe Bill Clinton ndie aliesema maneno ambayo kimsingi hayana uhalisia, arusha haina airport ya kutua Boeing ya magufuli, arusha gharama ya maisha iko juu kwa sababu ya uwepo wa maeneo mengi ya kitalii.
.
Angesema arusha the goma of africa hapo sawa

Kwani KIA iko wapi? Uwanja wa Kisongo upo wapi? mahoteli, spa, laundry, pools

Huwezi kuifananisha na chato
 
Nadhani una wivu tu.

Hiyo ni sifa ya nyongeza.... Kwanini usimsifie Mtanzania mwenzako kamaanaweza kutengeneza kitu na akakielezea kwa lugha ya kimataifa?
Yaani leo nimekuwa proud na nchi yangu at least kwa siku moja wamesahau ya Albino, kikombe cha babu na MO wamekuja na hii documentary ya East Africa. Imagine mtu anagundua mpaka toroli la kumwagilia mbolea shambani yeye anachofanya ni kujaza tu halafu kazi inakwenda. I was so impressed. Halafu wanavyojieleza sasa, nikawalinganisha na wapwa wangu wapo Uni za Dsm na Udom we ni majanga. Natamani nikipata nafasi siku moja niende kuwatembelea au waanzishe vitengo hata Dar. Nipo tayari kuwapa hata ofisi kwangu. Sipataji.
 
We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbua
Basi kama ni hivyo Serikali yako ina mental disorder kuruhusu masomo yote yafundishwe kwa kingereza isipokuwa somo moja tu la kiswahili...
 
We!.hunielewi kwangu mimi kiingereza ni lugha km lugha nyingine, nimeshangazwa na hyo mdau kuona kiingereza big deal mpaka anamsifia mtu eti anaongea fluent!.....wakati ukweli ni kuwa kuna vitoto vipo darasa la kwanza na vinaongea fluent. Nenda kenya hadi machokoraa wanaiongea hyo lugha vizuri kbsa!!.ndyo nikamuuliza whats the big deal?
Kiingereza sio lugha kama zilivyo lugha zingine ina upekee wake.

Sasa unataka kukifananisha kiingereza na Kisukuma mkuu?

Hoja ni wajasiriamali wa Arusha wameweza kutengeze product na kuweza kuzieleza kwa lugha ambayo hata kama kuna Mwiingereza aliyekuwa anamsikiliza amemwelewa.

-Hata kama kuna mkorea leo alikuwa anasikiliza BBC kamwelewa. Na hili ni jambo zuri saana. Assume angeongea kijaluo?
 
Yaani leo nimekuwa proud na nchi yangu at least kwa siku moja wamesahau ya Albino, kikombe cha babu na MO wamekuja na hii documentary ya East Africa. Imagine mtu anagundua mpaka toroli la kumwagilia mbolea shambani yeye anachofanya ni kujaza tu halafu kazi inakwenda. I was so impressed. Halafu wanavyojieleza sasa, nikawalinganisha na wapwa wangu wapo Uni za Dsm na Udom we ni majanga. Natamani nikipata nafasi siku moja niende kuwatembelea au waanzishe vitengo hata Dar. Nipo tayari kuwapa hata ofisi kwangu. Sipataji.
Ni mambo mazuri saana na ya kujivunia.. niliiona pia.

Mtu kama anauwezo wa kutengeneza vitu kama vile hata serikali isipomwinua mashirika makubwa ya kimataifa yanamwona na ni rahisi kuvutwa mkono... Nilipenda saana.
 
Hebu naomba link haya ya youtube nikaangalie
 
Ni mambo mazuri saana na ya kujivunia.. niliiona pia.

Mtu kama anauwezo wa kutengeneza vitu kama vile hata serikali isipomwinua mashirika makubwa ya kimataifa yanamwona na ni rahisi kuvutwa mkono... Nilipenda saana.
Nadhani watu kama wale wa German what nimesahau walikuwa wanasaidia vikundi au watu kama hawa. SNV walianza kujikita kwenye vikundi am not sure now sababu ni muda mrefu nimekuwa detached na mashirika ya misaada.
 
Back
Top Bottom