Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

Tanzania Railways Corp

Govt Institution
Joined
Mar 23, 2018
Posts
292
Reaction score
690
.....Samahani hivi inabeba Tons ngapi za mizigo per month.
Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.
 
Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.
 
Nimepita hapa station ya Dar muda wa saa 6.30 nimepaona. Hongera kwenu.
 
Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.
Fursa zenu zilikuwa kwenye kufagia fagia na kung'olea nyasi wakati wa 'ukarabati' wa reli ya Dar- Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom