Masasaa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 586
- 631
Nasikia reli ya moshi haibeni mizigo, kweli?Ukarabati wa Reli ya Moshi - Arusha unaendele upo mbioni kukamilika, ni zaidi ya 90% ya kazi imekamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia reli ya moshi haibeni mizigo, kweli?Ukarabati wa Reli ya Moshi - Arusha unaendele upo mbioni kukamilika, ni zaidi ya 90% ya kazi imekamilika.
Kilisha kufa zamani,labda kama kitaanza upya.
Reli ya Kaskazini inabeba mizigo, pia ukarabati wa reli Moshi - Arusha utakapokamilika treni za mizigo zitafika hadi Arusha.
Na hii ndo sababu alishindanwa na motaHao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.
Sitaki hata kidogo kukukatisha tamaa, kwa sababu natambua juhudi zenu hizi za miundombinu ya reli; lakini jibu lako hapo juu haliridhishi wala kutia moyo hata kidogo.Chuo cha Reli Tabora - TIRTEC kipo kinaendelea kutoa Mafunzo kwa Wing ya Tabora na Morogoro, Shirika lina mpango wa kuboresha Chuo hiko ili kiweze kuzalisha wataalamu watakaosimamia Shughuli za Uendeshaji wa Reli ya Kisasa - SGR.
Aidha, Shirika linaendelea kutoa Mafunzo ya Nadharia kwa wataalamu wetu ndani ya nchi katika kambi za Mradi na mafunzo ya vitendo nje ya nchi ikiwemo Uturuki, Ethipia, China n.k
Si kweli. Mbona wanalipa vizuri Tu?Bwashee ni kwamba hawa YAPI MERKEZ hawakuja na vitendea kazi vyote na hivyoo kuna Watanzania wamepeleka Mashine kama vile bull dozer, cranes, escavator, Tipper, Pick ups, Land Cruisers ambazo YAPI Merkez wanatumia kwa ajili ya kazi zao hivyo wanatakiwa angalau kila mwezi au baada ya miezi miwili wawalipe Makampuni ya vifaa na magari hayo lakini huchukua muda mrefu kupata malipo hayo na hata yakilipwa hayalipwi fedha zote wanazodai kwa mkandarasi na wakijaribu kufuatilia kwa YAPI MERKEZ wahusika ambao ni Waturuki lugha zao ni mbaya sana na wakati mwingine unaweza kufukuzwa kama mwizi unapoenda kuulizi malipo yako ambayo ni haki yako mtu kufahamu lini mtalipwa nk. Na kuna jamaa pale anaitwa FATIH BAL yaani huyu sijui ana roho ya namna gani hana hata utu wa kuongea na mwanadamu mwenzie yaani ni kijana wa ajabu sana na tabia yake ni chafu iliyopitiliza.
Ukiondoa hilo tatizo la kuchelewesha malipo, hapo ndipo utakapoona tofauti kubwa sana kati ya reli hii na ile ya wachina iliyojengwa Kenya na Ethiopia.Bwashee ni kwamba hawa YAPI MERKEZ hawakuja na vitendea kazi vyote na hivyoo kuna Watanzania wamepeleka Mashine kama vile bull dozer, cranes, escavator, Tipper, Pick ups, Land Cruisers ambazo YAPI Merkez wanatumia kwa ajili ya kazi zao hivyo wanatakiwa angalau kila mwezi au baada ya miezi miwili wawalipe Makampuni ya vifaa na magari hayo