M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
umesomeka.M-mbabe,
Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
now, kwa manufaa yetu sisi skeptics, tuwekee jedwali linalotanabaisha commercial & economic advantages za SGR vs hicho ulichokipa jina la "Cape Gauge" kwa nchi kama yetu, ukiachilia mbali kigezo cha upana of course.
pia tuwekee hapa jamvini gap analysis (i.e kama mli bother kufanya at all) kati ya hizi options 2.