Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

Sawa Sawa
Bwashee ni kwamba hawa YAPI MERKEZ hawakuja na vitendea kazi vyote na hivyoo kuna Watanzania wamepeleka Mashine kama vile bull dozer, cranes, escavator, Tipper, Pick ups, Land Cruisers ambazo YAPI Merkez wanatumia kwa ajili ya kazi zao hivyo wanatakiwa angalau kila mwezi au baada ya miezi miwili wawalipe Makampuni ya vifaa na magari hayo lakini huchukua muda mrefu kupata malipo hayo na hata yakilipwa hayalipwi fedha zote wanazodai kwa mkandarasi na wakijaribu kufuatilia kwa YAPI MERKEZ wahusika ambao ni Waturuki lugha zao ni mbaya sana na wakati mwingine unaweza kufukuzwa kama mwizi unapoenda kuulizi malipo yako ambayo ni haki yako mtu kufahamu lini mtalipwa nk. Na kuna jamaa pale anaitwa FATIH BAL yaani huyu sijui ana roho ya namna gani hana hata utu wa kuongea na mwanadamu mwenzie yaani ni kijana wa ajabu sana na tabia yake ni chafu iliyopitiliza.
 
MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR
Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65%
Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80%
Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90%
hizi images zinanikumbusha mbali sana enzi hizo wakati TAZARA inajengwa. ilikuwa na muonekano wa hivi hivi. sijui TAZARA sasa imeishia wapi masikini?

nachomaanisha hapa ni kuwa hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kujenga reli ya SGR kwa kiwango hiki cha sasa. kwa sisi tuliozaliwa before 60s huko tulishuhudia kwa macho yetu.

swali ni je, tumejifunza makosa tuliyoyafanya kwa TAZARA? kwa matumaini tuliyokuwa nayo kwa TAZARA na kile tulichokipata, my verdict is "TAZARA is one big white elephant". should we now brace ourselves up for another (this time TRC's championed) white elephant?

your guess is as good as anyone's!!
 
YAPI MERKEZi lini mnawalipa Sub Contractors wenu wanaotoa huduma kwenu kama kuleta Cranes, Escavators, tippers, pick ups nk ambao wanawadai fedha nyingi sana huku yule Mturuki FATIH BAL akiwatukana Watanzania wenye kuleta vifaa hivyo utadhani nchi ya baba yake.
 
Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.
Aisee inauma sana hawa jamaa mie nawadai pesa tokea 2017 mpaka sasa sijalipwa na pia uharibifu kwenye magari kutokana na kazi hiyo ni mkubwa.

Wameniyumbisha sana hasa kwa hasara niliyoipata
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alisema Hawa Ni Vibarua Wetu, Wameanza Kuwapa Tabu Wazawa Wanawakopa
 
Watanzania mmezidi wizi
Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-mbabe,
Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
 
Kuna watu wanadhani SGR ni treni ya umeme.
 
Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
Vipi mkuu usimamiaji wenu wa malipo kwa hawa sub contractors hamjafikiria mpaka leo kufuatilia hili la madai ya pesa?
 
Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.

Sasa mzee mwezetu mbona kama umeniunganisha kwenye hao waturuki , lakini contractor kama lake group naona anaenda nao sawa...... na sasa kama sub contractors hawalipwi ama awalipwi kwa wakati wao wanachukua jukumu gani? wanachama chao? au ndo uoga wakuachwa kwenye miradi ijayo?

....Lakini hata hii mradi ya reli ya umeme inatekelezwa kwa kuwa mtu mmoja katika watu 68mil kapenda yeye . either kwa kuona labda sisi watu wa malori tunatajirika na hizo cargo za rwanda... kwa gharama ya 5+trion kwenye mradi kama huo ni matumizi ya ovyo ya fedha. hiyo fedha itaitaji miaka si chini ya 9 kurudi, bado mikopo na ndo tuanze kuhesabu faida...
wakati 5+trion kulikuwa na uwezekano wa kuanzisha viwanda zaidi ya 500 kwa capital ya 12bilion per each plant.
pamoja na kuwawezesha wakulima kuzalisha kwa wingi mazao ambayo ni marighafi kwenye viwanda vyetu.
 
Back
Top Bottom