Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Naomba kuuliza kwamba kwa morogoro mjini stesheni ya train itakua specifically eneo gani?MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR
Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65%
Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80%
Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90%
Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana......Samahani hivi inabeba Tons ngapi za mizigo per month.
mkopo umekopwa juzi tu tayari mnaanza maneno mna mambo kweli nyinyitupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
mimi ni mlipaji lazima nihoji.mkopo umekopwa juzi tu tayari mnaanza maneno mna mambo kweli nyinyi
JUZI MMEKOPA PESA KWA MABEBERU KWA AJILI YA HUO UJENZICc
vibaraka wa mabeberu.
Mingine mlikuwa nnakopa kimya kimya,yamewafika shingoni ndiyo na sisi WANYONGE tumejua.mkopo umekopwa juzi tu tayari mnaanza maneno mna mambo kweli nyinyi
tupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
Fursa zenu zilikuwa kwenye kufagia fagia na kung'olea nyasi wakati wa 'ukarabati' wa reli ya Dar- Kilimanjaro.Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.