Bwashee ni kwamba hawa YAPI MERKEZ hawakuja na vitendea kazi vyote na hivyoo kuna Watanzania wamepeleka Mashine kama vile bull dozer, cranes, escavator, Tipper, Pick ups, Land Cruisers ambazo YAPI Merkez wanatumia kwa ajili ya kazi zao hivyo wanatakiwa angalau kila mwezi au baada ya miezi miwili wawalipe Makampuni ya vifaa na magari hayo lakini huchukua muda mrefu kupata malipo hayo na hata yakilipwa hayalipwi fedha zote wanazodai kwa mkandarasi na wakijaribu kufuatilia kwa YAPI MERKEZ wahusika ambao ni Waturuki lugha zao ni mbaya sana na wakati mwingine unaweza kufukuzwa kama mwizi unapoenda kuulizi malipo yako ambayo ni haki yako mtu kufahamu lini mtalipwa nk. Na kuna jamaa pale anaitwa FATIH BAL yaani huyu sijui ana roho ya namna gani hana hata utu wa kuongea na mwanadamu mwenzie yaani ni kijana wa ajabu sana na tabia yake ni chafu iliyopitiliza.Sawa Sawa
hizi images zinanikumbusha mbali sana enzi hizo wakati TAZARA inajengwa. ilikuwa na muonekano wa hivi hivi. sijui TAZARA sasa imeishia wapi masikini?MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR
Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65%
Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80%
Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90%
Ila inabidi hiyo reli ilipe yenyewe hilo deni kama fedha zitatoka kwingine.tupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
mhhh riba ni kubwa sana aiseeIla inabidi hiyo reli ilipe yenyewe hilo deni kama fedha zitatoka kwingine.
Aisee inauma sana hawa jamaa mie nawadai pesa tokea 2017 mpaka sasa sijalipwa na pia uharibifu kwenye magari kutokana na kazi hiyo ni mkubwa.Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.
tupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.
Pesa zenyewe tunakopa kwa hao unawaotq MabeberuCc
vibaraka wa mabeberu.
Vipi mkuu usimamiaji wenu wa malipo kwa hawa sub contractors hamjafikiria mpaka leo kufuatilia hili la madai ya pesa?Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
swali hili sidhani kama utajibiwa...sanasana watakuita kibaraka wa mabeberu.Vipi mkuu usimamiaji wenu wa malipo kwa hawa sub contractors hamjafikiria mpaka leo kufuatilia hili la madai ya pesa?
Reli yetu kwa Maendeleo yetu.
Naulizia Chuo cha Kujifunza Kuendesha hayo madubwana..
Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni Mungu alivyo na majibu ya kunya anaitwa FATIH BAL anatukana Watanzania utadhani nchi hii ni ya baba yake. YAPI MERKEZ walipeni fedha wakandarasi wa Kitanzania ambao mmetumia huduma zao acheni kuwatukana tukana.
Kilisha kufa zamani,labda kama kitaanza upya.chuo tabora
Wengi tuliomo humu tulishuhudia awamu ya 4 na hatukuhoji matumizi ambayo leo hii hayaonekani. Sasa hivi tunaona kinachofanyika eti tunauliza deni ni kiasi gani.mimi ni mlipaji lazima nihoji.