umesomeka.M-mbabe,
Ahsante. Ifahamike kwamba reli ya TAZARA Si SGR kwa maana, si ya kimataifa bali ni Cape Gauge, reli yenye upana wa 1067mm (Mita 1.067) ambayo ni maarufu zaidi nchini Afrika Kusini. Reli ya SGR ina upana wa 1435 mm (Mita 1.435), hivyo reli ya SGR ni pana na inatumika Kimataifa takribani 55% ya mataifa duniani yanatumia reli ya upana huo.
Aisee inauma sana hawa jamaa mie nawadai pesa tokea 2017 mpaka sasa sijalipwa na pia uharibifu kwenye magari kutokana na kazi hiyo ni mkubwa.
Wameniyumbisha sana hasa kwa hasara niliyoipata
Kuna watu wanadhani SGR ni treni ya umeme.
viraka havitakuisha,utaishia kuomba omba tutupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
Wengi tuliomo humu tulishuhudia awamu ya 4 na hatukuhoji matumizi ambayo leo hii hayaonekani. Sasa hivi tunaona kinachofanyika eti tunauliza deni ni kiasi gani.
Tanzania haijawahi kuwa na SGR kabla ya hii inayojengwa na Yapi.nachomaanisha hapa ni kuwa hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kujenga reli ya SGR kwa kiwango hiki cha sasa. kwa sisi tuliozaliwa before 60s huko tulishuhudia kwa macho yetu.
Kuna chuo pale Tabora kama hawakuuza majengo yao.Reli yetu kwa Maendeleo yetu.
Naulizia Chuo cha Kujifunza Kuendesha hayo madubwana..
Nafikiri labda trani ndio itaendeshwa na umeme!sasa pia sijui kama nishati hiyo itapita kwenye reli au la!HII RELI YA SGR ITAKUWA YA UMEME ?
tupe na maendeleo ya deni mlilokopa kwa ajili ya huo ujenzi.
wewe bado ni mtoto mdogo obviously.Tanzania haijawahi kuwa na SGR kabla ya hii inayojengwa na Yapi.
Gauges za reli zinamajina tofauti kutokana na upana wake. Tanzania tuna ile ya mjerumani ambayo ni meter gauge (upana wa 1000mm) na TAZARA ambayo ni Cape gauge (upana wa approx. 1,067 mm).wewe bado ni mtoto mdogo obviously.
kamuulize babako au mjombako atakwambia..... labda awe ni MATAGA maana hao ubongo kwenye fuvu zao umekuwa substituted na kamasi!
Standadi GOJI itatumia umeme wa Stiglaz GEJIHII RELI YA SGR ITAKUWA YA UMEME ?
Propaganda tu ni kama ilivyokuwa hairuhusiwi kuegesha Range Rover BenkiWengi waliojaribu kupiga picha zilikuwa zanaungua tu
chuo tabora
Ukarabati wa Reli ya Moshi - Arusha unaendele upo mbioni kukamilika, ni zaidi ya 90% ya kazi imekamilika.
Siku hizi AIRTANZANIA VP MBONA HATUPATI HABARI KINACHO ENDELEAMAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR
Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65%
Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80%
Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90%
View attachment 1363697