Aisee ni wewe tu ndo hujui mchango binafsi wa Lissu kwa makundi mbalimbali akitumia taaluma yake kama mwanasheria! Kwa taarifa yako Lissu ana mchango mkubwa sana katika kujitolea kusaidia makundi msaada wa kisheria, zile 5milion unazomuona mgombea wa ccm akitoa kusaidia madawati hakuwahi kuzitoa popote akiwa mbunge kabla ya kuwa rais! Nimeacha bila kusema Lissu alimsaidia nani ili ubakie gizani hivoivo!
After all suala la maendeleo ni sera za chama, Kama wanakusanya kodi watashindwaje kutekeleza miradi ya maendeleo?
CCM wapishe wapate darasa la namna maendeleo yanavyofanyika sio kudanganya tu wananchi, alafu mkiingia ikulu unaanza kutoa sababu!