Mchango wangu kidogo kama mbobezi wa masuala ya uchumi maendeleo: Maamuzi ya kiuchumi sio suala la siku moja na la mtu mmoja. Lazima kiongozi umpa rais better options za kufanya katika mazingira tulio nayo.
Ndugu zangu kama kuna Rais ambae anatambua umuhimu wa utaalamu naamini Rais Magufuli ameshinda watangulizi wake wote, na hata uteuzi wake unasema volume.
Uchumi sio siasa, siasa ni kufikiria na kuona unawezaje kufikisha unachokitaka , wakati Hard fact , zinakutaka uchumi uuendeshe na ufanye kama ambavyo ni lazimika. Una option kidogo mnoo tena kwenye delivarables na sio how to do it.
When you propose an economic decisions to be implented, too you have to present Critical path analysis supporting your decision and implentation..