Uchaguzi 2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au miemko isio na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu...

JPM Alifanya Sawa na jk? Jibu ni NO so Hata Lisu atafanya tofauti kabisa na jpm
 
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au miemko isio na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu....
Hivi unajua maana ya demokrasia na maendeleo? Na tangu lini chama Cha siasa kikaleta maendeleo? Kazi ya vyama vya siasa unaijua kwa yakini? Nitakusaidia ili uigandue hiyo akili yako iliyoganda! Chama Cha siasa huandaa Sera ambazo ndani take Kuna miradi mbalimbali na kuziongoza au kuzielekeza kwenye vyombo ambavyo ni wizara na idara za serikali kwa ajili ya usimamizi na utekelezaji ili zilete Tija na Tija hiyo ndio huitwa maendeleo!

Kazi ya chama Cha siasa inakuwa kuhamasisha na kuelimisha wananchi kujiletea maendeleo kupitia miradi mbalimbali ya kimkakakati Kama kilimo, migodi, viwanda, ufugaji na biashara! Nikuulize swali, ccm inamiliki mradi gani ambao umeajiri wananchi?

Ccm Ina demokrasia? Kama ipo no kwanini fomu ya kugombea nafasi ya urais ilikuwa moja tu? Usijifanye mwalimu siasa ilihali huna ulijualo juu ya majukumu ya vyama vya siasa!
 
Huyo huyo Tundu lissu aliwahi kusema Lowassa Ni fisadi papa na ushahidi wanao na huyo huyo akawa Ni mmoja ya watu waliompokea chamani na kumsafisha kiongozi wa namna hii Nitawezaje kumuamini?
Na fisadi huyo huyo CCM wakampokea kwa nderemo kama mazuzu!
 

Wale ambao wanaenda kwenye mikutano ya Lissu I think ni warundi wale

Naona mnafunga Mpaka vyuo na secondary ili watoto waje kwenye mikutano yenu

Nyie ndio mlikuwa mnamwambia jpm Hana haja ya kufanya kampen bcoz upinzani umekufa

Vipi Leo inakuwaje?
 
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au miemko isio na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu...
Una uhakika kuwa Tundu Lisu hajawahi kuwasaidia watu kwa kupitia taaluma yake? Mwulize Kigwangala atakueleza.

Hakuna maendeleo ya maana kuzidi usalama wa watu, uhuru, haki na utu wako kama binadamu.

Tunataka Serikali itakayolinda uhuru na haki za watu. Mengine hufuata baada ya hayo ya msingi. Tunataka kiongozi ambaye hata akikosolewa, hakuna atakayeuawa, hakuna atakayeshambuliwa kwa risasi, hakuna atakayetekwa, hakuna atakayepotezwa wala hakuna atakayebambikiwa kesi ya uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.

Haki za raia ni hitaji la kwanza kabla ya ndege, reli au umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikasirike na kulaumu sana ndugu yangu. Riziki mafungu mafungu anagawa Mwenyezi Mungu. Wale wametangulia ila yawezekana hawajafika. Unaweza siku moja ukawapita. Jitahidi zaidi.
Unaongelea kina nani maana sikuelewi ?
 

Mchango wangu kidogo kama mbobezi wa masuala ya uchumi maendeleo: Maamuzi ya kiuchumi sio suala la siku moja na la mtu mmoja. Lazima kiongozi umpe Rais better options za kufanya katika mazingira tulio nayo.
Ndugu zangu kama kuna Rais ambae anatambua umuhimu wa utaalamu naamini Rais Magufuli ameshinda watangulizi wake wote, na hata uteuzi wake unasema volume.

Uchumi sio siasa, siasa ni kufikiria na kuona unawezaje kufikisha unachokitaka , wakati Hard fact , zinakutaka uchumi uuendeshe na ufanye kama ambavyo ni lazimika. Una option kidogo mnoo tena kwenye delivarables na sio how to do it.

When you propose an economic decisions to be implented, too you have to present Critical path analysis supporting your decision and implentation..
 
Wale ambao wanaenda kwenye mikutano ya Lisu I think ni warundi wale

Naona mnafunga Mpaka vyuo na secondary ili watoto waje kwenye mikutano yenu

Nyie ndio mlikuwa mnamwambia jpm Hana haja ya kufanya kampen bcoz upinzani umekufa

Vipi Leo inakuwaje?
MTAKALIA UJINGA WENU HUO ETI WATOTO
 
Sawaa hata kama ni hivyo hawa waliopo wameshashibisha matumbo yao kwa miaka yote hii. Tanzania ni ya wote
 
Kwanza waalimu wako wakisoma huu utumbo ulioandika hapa wataficha sura zao! Kwa taarifa yako ili tuwe na uchumi imara tunahitaji kiongozi asiyeingilia bajeti zilizopitishwa kisheria na siyo kiongozi anayeweza kuamua cho chote wakati wo wote akijisikia! Tunahitaji kiongozi anyeheshimu sheria.

Magufuli ni jambazi wa katiba na sheria!
 
Munjombe ulichoongea Ni fikra zako binafsi je unazani Tundu lisu na CHADEMA wanaweza kufanya hivyo ikiwa tu wameshindwa kufanya ikiwa hawapo madarakani ndio wakipata madaraka ndio watayafanya?
wape fedha ndio tujue hata JPM umeona kwa sababu anafedha na serikali sio individual person ni suala la kufuata taratibu na sheria na kua mbunifu tu
 
Asante Mkuu, nawapa pole waalimu ikibidi wafunge sura. Na kwa muono wako sioni kama tunaweza kubadilishana ufahamu ila nitashukuru ikinifundisha ili nisitie aibu walimu wangu.
Ukinionea huruma nipatie ushauri wako kwenye Inbox yangu.
 
Umevamia jukwaa lisilokuhusu.Stori zako tunajua ni zile za umbea,diamond kalala na nani,fuata akina warumi kule jukwaa kwenu.Acha kubaka majukwaa ya watu na huu utopolo wako.
 
Kuna watu ni vilaza sana aisee,mawazo yako yote ndio umeshia kuandika utumbo huu.
 

Hakuna jambo watakalo liweza ndio mana tunawaambia kura kwa Wagombea wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…