Uchaguzi 2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

Uhuru , Haki na maendeleo ya watu!
 
Tokea nimfuatilie Tundu lisu sijawahi kumuona akijitolea kusaidia mwanainchi yoyote wa kawaida kupitia taaluma ya uanasheria aliyonayo zaidi anaitumia kwaajili ya chama chake Je unaamini hivi atawasaidia watanzania akiwa madarakani?
Wewe ni kifaulongo!
 
Maendeleo gani ya nchi wataleta ikiwa tu chama kina miaka 28 mpaka leo hakina hata jengo bado kimepanga japo wanapata 32m kwa mwezi za ruzuku ukiacha 1m kwa wabunge wake wote 70
 
Jamani hai huko, Kaka Sjui atatoboa 28 October? Maana nasikia watu wakiimba,, tunataka SaSisha, majina ya kimasai bana!
 
Hujawahi kumwona Lissu akitumia taaluma yake ya uwanasheria kusaidia jamii? Waulize wakazi wa Nyamongo Tarime wana majibu sahihi
 
Vyote hivi Magufuli kafanya tena zaidi ya hayo
 

Mkuu shukran sana kwa huu ufafanuzi halisi kuhusu haiba ya Lissu. Miaka ile ya Barrick na Bulyanhulu ilibidi nitafute habari za Lissu jinsi alivyokuwa akipambana na serikali. Kwanza nilishangaa sana kugundua kumbe ni kijana mdogo tu wakati ule. Haikuwa kawaida hasa kwa vijana kufanya harakati za hatari kiasi kile.

Kile kitendo cha kutaka kuuwawa kwa mvua ya risasi na kampeni inayoendelea sasa kuua haiba yake ya kipekee ya kujitoa mhanga kwa ajili ya haki za wanyonge kwangu mimi ni kielelezo cha kufa kwa Tanzania niliyoifahamu. Hakika waliotaka kumuua Lissu na wanaomuita kibaraka hao ndio watesi rasmi wa Watanzania. Eti Lissu kibaraka wa mtu? Muulizeni JK.

Nilishangaa jana kumsikia Dr. Slaa naye anaongea ujinga kuhusu Lissu. Akubali tu kuwa sasa Lissu ndiyo nyota ya upinzani inayong’aa nchini. Yeye Slaa tunamshukuru sana kwa enzi zake za kujitoa kwa ajili ya nchi. Lakini anachojaribu kukitetea sasa kwa kumponda Lissu hakikubaliki. Kweli Slaa leo ni mtu wa kusifia ndege zilizonunuliwa kifujaji na kifisadi devoid of a credible business plan? We’re done!

Ninachoona ni kama vile Watanzania wengi tumepigia magoti na kukubali kuongozwa na utawala wa ki-mafia unaoendeshwa na chama dola - CCM. Labda kila mmoja wetu anatumaini kuwa ipo siku ataambulia chochote toka kwa wakuu hao wa dola. Manake hatujambo kwa kuwaza “one day yes!” Tusijidanganye. Maumivu ndio kwanza yameanza. Lissu “akishindwa” uchaguzi na, kama kawaida, akazuiwa kufanya harakati hadi 2025, ndipo wengi tutakapojua maana halisi ya chama dola kushika hatamu - ki-mafia.
 
UNATIA HADI KINYAA yaani huyuhuyu lissu aliyekuwa anatetea migodi iendelee kuliwa na wazungu leo unamuita mtetezi wa wa tz ?kweli kweli? yaani huna hata akili za kuvukia barabara wewe mtu tena ni mjinga wa kiwango cha lami lissu hafai ni msaliti wa nchi unaona juzi tu hapa tumepokea bilioni 100 za madini angekuwa lissu hizo tungezipata wapi shenzi wewe unataka matusi tu humu mbwa weee
 
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
Unakunywa nini nikuletee
 
Tokea nimfuatilie Tundu Lissu sijawahi kumuona akijitolea kusaidia mwananchi yoyote wa kawaida kupitia taaluma ya uanasheria aliyonayo zaidi anaitumia kwaajili ya chama chake Je unaamini hivi atawasaidia watanzania akiwa madarakani?
Mkuu hujamfuatilia vizuri au umekataa kumfuatilia vinginevyo hujui unafuatilia nini. Tundu Lissu anahistoria ndefu ya kutetea wananchi na taifa kitu ambacho kuna watu hawataki kusikia.
 

Very stupid & plain ignorant.
 
Kawaulize Wamalawi..ndio kinaenda kutokea 28|10
 
Kwa maswali haya inaonesha wewe akili zako bado...
 
Nani alikwambia tanzania kuna maendeleo? Unajua maendeleo wewe? Yaani watu wanakunywa maji ya tope halafu unasema tuna maendeleo? mvua ya masaa manne ,njia hazipitiki zote halafu unasema tuna maendeleo? Wananchi hawana pesa mifukoni uchumi umepiga mweleka halafu unasema kuna maendeleo?

Uhuru ,haki na maendeleo ya watu ndio KAULI MBIU YA CHADEMA.
 
King Kong III wananchi hawana hela au wewe ndio hauna hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…