Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali.
Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka Gross Domestic Product inaongezeka.
Maendeleo hayawezi kuja kwa kukaa tu bila kufanya kazi kwa bidii na nguvu. Kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu hakuwezi kuja bila ya uwepo wa heshima katika kazi.
Nilichogundua sasa uwajibikaji unakwenda kupungua kwa kasi sana kuanzia ofisi za serikali hadi binafsi na zile kazi zisizo rasmi.
Tutegemee uzalishaji mali kupungua kwa kasi sana. Tutegemee makusanyo ya kodi kushuka kwa kasi, tutegemee performance maofisini kupungua rushwa inakwenda kuongezeka, ujambazi unakwenda kuongezeka kwasababu watu watakua hawafanyi kazi.