Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Sio muda mrefu utakua wa kwanza kwenda kutubu chato. Nakutabiria baada ya miezi mitatu utakwenda kutubu chatoHakuna huo ushahidi,sio kweli kwamba kufokea watu na kuwatukana watu ndio njia nzurinya kuongoza watu
Sio muda mrefu utakua wa kwanza kwenda kutubu chato. Nakutabiria baada ya miezi mitatu utakwenda kutubu chatoWafia Jiwe ondoeni huu upumbafu nani kakwambia hafanyi kazi vipi wakulima wa korosho mliowadhulumu walikuwa hawafanyikazi
Nenda CHINA na JAPAN ukajionee watu wanavyofanya kazi kwa bidii. Wewe unamaarifa gani hapo ulipo unayo yatumia, kwenye kazi zako. Kazi zako zote unatumia nguvu. Eti maarifa unamaarifa wewe, kutumia tu computer you need energy in your eyes. Vilaza mnashida sana.Bidii na miguvu bila maarifa ni zero kwa enzi hizi. "Intellectual capital is a paramount component for the current social and economic welfare".
Hiki ndio kilichopo JAPANI NA CHINA, they work 12 hours kila siku kwa siku saba.Kama walioko juu ni wabovu hata ufanye kazi kama punda hautoboi, walioko nchi zilizoendelea wanasema maisha yao ni ya ghali lakn sio magumu kama Africa, wao kwa kila kitu lazima akope mfano, simu, gari, vifaa vya ndani nk. na wanafanya kazi kwelikweli na kazi zenyewe zipo ni wewe tu.
Ninacho kubaliana nawe ni kuwa kipato chako kitashuka sana, kwani yule DHALIMU uliyekuwa unmtumikia na kumwimbia MAPAMBIO katikati ya vilio vya Watanzania, sasa hayupo tena.Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu....
Kwan kuna mtu anahamasisha watu wasifanye kazi? Au ww ndio unahamasisha acha kuiombea Nchi yako mabaya kua mzalendoMaendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu....
Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu....
Ninacho kubaliana nawe ni kuwa kipato chako kitashuka sana, kwani yule DHALIMU uliyekuwa unmtumikia na kumwimbia MAPAMBIO katikati ya vilio vya waTz, sasa hayupo tena.Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu....
Ni muda tu ngoja fedha za hazina ziishe,zikiisha tutarudi tu kudai kodi kwa nguvuNinacho kubaliana nawe ni kuwa kipato chako kitashuka sana, kwani yule DHALIMU uliyekuwa unmtumikia na kumwimbia MAPAMBIO katikati ya vilio vya waTz, sasa hayupo tena.
Ndugu tulia ili ujitafakari, umrudie MUNGU wa kweli,na kisha utafute tuu kazi nyingine ili uweze kulipwa kwa haki.
AMEN
Sio muda mrefu utakua wa kwanza kwenda kutubu chato. Nakutabiria baada ya miezi mitatu utakwenda kutubu chato
Ndugu yangu,Ni muda tu ngoja fedha za hazina ziishe,zikiisha tutarudi tu kudai kodi kwa nguvu
Ndugu yangu,Ni muda tu ngoja fedha za hazina ziishe,zikiisha tutarudi tu kudai kodi kwa nguvu