darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Umeona mbaali Sana mkuuTutegemee makusanyo ya kodi kushuka kwa kasi, tutegemee performance maofisini kupungua rushwa inakwenda kuongezeka, ujambazi unakwenda kuongezeka kwasababu watu watakua hawafanyi kazi.
Zinazokupa Maumivu ukidhulumiwa, hizo ndio haswaa jasho lakoEnzi za JK kwa sisi watu wa chini ilikua kawaida sana kukopeshana milioni moja mbili na watu wanakulipa vizuri tu
Enzi za jiwe kila niliemkopesha sent yangu aliishia kunipa maumivu mpaka nikaacha kuwasaidia watu maana mtu anakuja kukulilia shida ya let say 20K ukimpa tu ndio hamuonani tena anaanza kukukwepa
Hii kiuchumi inaitwaje wakuu.
Ngoja tusubiri, hizo hela zote zinakwenda kwa watu wenye nguvu kiuchumi.Enzi za JK kwa sisi watu wa chini ilikua kawaida sana kukopeshana milioni moja mbili na watu wanakulipa vizuri tu
Enzi za jiwe kila niliemkopesha sent yangu aliishia kunipa maumivu mpaka nikaacha kuwasaidia watu maana mtu anakuja kukulilia shida ya let say 20K ukimpa tu ndio hamuonani tena anaanza kukukwepa
Hii kiuchumi inaitwaje wakuu.
Haha. we jamaa lini tanzania ilikuwa paradiso, enzi za j*we au?uwajibikaji unapungua siku 60 sijazo
nchi inakuwa paradiso ya kufikirika
Yule mwamba,kamanda mbabe, mwalimu wa Nidhamu kalala na lazima watamkumbuka tu...furaha na kejeli na faraja za muda tu
kipindi cha kilio watalia kimya kimya