nadhani ni suala la kihistoria maana hata mtume muhamad alikuwa merchant.Halafu sijui kuna uhusiano gani kati ya uislamu na biashara.
Walio wengi wa wafanyabishara na matajiri Kinyongo bongo na kiafrika Afrika ni waislam.
Hivi kwanini mashoga wengi ni waislamu mkuu?Acha makasiriko na Wivu Mkuu
Kama anti Asu asingebadili dini kuwa mkristo mpaka leo ungekuta ni li shoga.Ukristo umerudisha uanaume wa anti Asu.Acha makasiriko na Wivu Mkuu
Hivyo ndivyo ilivyo, mahali wazazi ndio wanao panga, maana Binti akisema wanamwambia weka na ya mama na baba, hapa hakuna tofauti ila tofauti viwango tu.Naunga mkono ila hapo kwenye mahali tu nna chakusema
Ni kweli mahali anataja mlengwa mwenyewe ambaye anatakiwa kuolewa ila siku hizi baadhi ya waislam wengi wanapindisha hapo kwenye mahali naomba wakemewe yaani viongozi wa dini wakemee kipengele cha mahali
Unakuta binti ametaja vizur tu kiwango/kitu anachohitaji kama mahali ila wazee nao wanaongeza wanachotaka kiufupi haipendezi- tunaghahiri sana kuoa kutokana na hali ngumu ya maisha na hawa wazee wa kiislam kuongeza cha juu , haipendezi wakemewe watatuua na kuzini maana binti zao bado wanamiminika maghetoni Kwa masela na wao wenyewe ndio wanatia ugumu
Sisi tupo vizuri kwa watoto yatima na vituo vya afya vikubwa ni vyetu hata serikali uingilia ku supportSehemu Nayowapa Credit ni maswala ya UBINADAM(HURUMA NA KUSAIDIA)
Nadhani ni karibia hospital zote kubwa waislam Ndo wenye mchango mkubwa kuwasaidia wagonjwa wote bila kujali itikadi kwa kuwapa vyakula na maji.
Nilishawahi uguzaga Mgonjwa hospital mbili tofauti nikabahatika kuona hiyo hali , ilinivutia sana .Kwani ndani ya wodi alolazwa mgonjwa wangu karibia wote hawakuwa hata na ndugu wenye uwezo wa kukimu mahitaji la mlo kwa mara tatu. Hivyo ukipeleka chakula basi unazidisha angalau nae awape wenzake.Pia kupitia hizo taasisi za kiislam zilifanya wagonjwa wote kupata chakula na maji.
Nilijiuliza ni namna gani wanawasaidia watu katika hali ngumu kama ile huku imani ya pili huku ndo kwanza ni kuchangishana kwenye nyumba za ibada ili kujenga hospital alafu gharama zao ziko juuu.
Nenda brazil huko uone wanawake wao wa kikristo wanavyotoa ndogo, nenda USA na europe nzima uone hiyo michezo.Hata kwenye kutoa ndogo wapo vizuri
unazungumzia sweeden hii wanaondaa kombe la dunia la ngonoAngalia nchi zenye ukristo wa kweli kama Sweden,Norway na Finland jinsi watu Wana level ya juu ya maisha na ubinadamu
Dhulma imekemewa sana kwenye Quran . Na mfanyaji wa dhulma lazima atakuja kuilipa hapa duniani na kesho akhera haijalishi uliyemtendea bi muislamu au si muislam.Wengi wa waislamu ni wanafiki sana hasa Kwa wakristo,ni wamejaa zuluma sana hawana upendo,wavivu na watapeli ,waanaamini kumdhulumu mtu wa imani nyingine kwao siyo dhambi,hawataki kuwajibika hata Kwa watoto wanaowazaa ndiyo maana hukimbilia talaka,ulozi na ugannga ugannga ndio kitu pekee wanaweza kuongoza
Hii nyingine ni kama huwezi kwenda peponi bila watu fulani, ni shida sana, hata mtoto anaweza asibatizwe kwakuwa hukutoa zaka. Ni shida sana. Mimi Niko huku ila Kuna vitu havijakaa sawa kabisa. Mungu anamilikiwa na watu fulani.Hua nikiangalia hizi imani 2 kubwa hapa kwetu ni kama moja ni ya ujamaa na nyingine ni ya ubepari. Moja ikiwa inaamini katika kusimplfy mambo nyingine ikiwa inaamini kwenye kucomplicate mambo.
Hawaruhusu hata nukta. Ulijaribu tu unalo. Hakuna upuuzi wa hajui alitendalo. Nachukia sana hii kauli inahalalisha uovu wa makusudi kabisa.Kulinda imani yao.
Huwezi kusikia dini yao inachezewa ovyo ovyo tu halafu wakakuangalia tu. Yaani msanii muislam yupo tayari kutengenezea maudhui yake kanisani ila sio akachezee msikitini.
mavazi ya kina dada.
hapo wameupiga mwingi sana .
Hivi hawa wavaa stara wakienda kutuwakilisha si wanaweza kuleta kombe bongo mkuu?unazungumzia sweeden hii wanaondaa kombe la dunia la ngono
MTU akifa Ukristoni inakuwa sakata kama la Bandari. Sio mchezo.
Sasa una uhakika gn kama hao ni waislamu? Hayo madera hata ww siunavaa tuHivi hawa wavaa stara wakienda kutuwakilisha si wanaweza kuleta kombe bongo mkuu?
Hasa ustaadh Kumbuka na Shehe Lokoli wakikaba upande wa upinde lazima tushinde
Yesu hakuacha kanisa kamanda, kanisa limeanzishwa na hao hao warumi.Ukristo umeharibiwa na mila za kipagani za Wazungu walizochomeka kwenye Ukristo ili kuuchakachua! Baada ya Uamusho sasa hivi Ukristo unarudi katika ile hali ya kwanza ya Ukristo halisi.Ukristo halisi wa Kwanza ni ule uliokuwako wakati wa Yesu na Kanisa lake aliloliacha kabla hajapaa kwenda mbinguni,wakati huo ya Dola ya Kirumi ndiyo iliyokuwa inatawala dunia nzima.Wakati Kanisa la kwanza linaeneza Injili,utawala wa Kirumi baada ya kuona Imani ya Kikristo ni tishio kwa dini zao za kipangani waliangamiza wakristo wengi mno,mpaka wakristo walipofikia mahali (baada ya kuteswa mno) kukubali mafundisho ya kipagani ya Kirumi kuingizwa katika Ukristo ndiyo ikazaliwa Roman Catholic! Vitu kama kuvika maiti suti sijui maua,kuvaa mavazi ya kihuni yasiyo na heshima,nk hivi vyote vimeletwa na wazungu walioleta dini zao nchi masikini na kwingineko.
Kila mtu anajua Madera,majura,vijora ni mavazi ya wanawake wa kiislamu waishio maeneo ya pwani.Ni mavazi ya heshima na stara yakivaliwa ipasavyo ila baadhi ya wanawake wa kiislamu huyatumia kwenye mambo ya kikahaba kama hivyo.Sasa una uhakika gn kama hao ni waislamu? Hayo madera hata ww siunavaa tu
Tatizo lako ni jazba uliyo nayo dhidi ya haki inakutia upofu usiweze kuiona nuru.Huo ni uongo ulio dhahili.Dini ya mitume na manabii siku Yao kuu ya ibada ni jumamosi(SABATO).Siku hiyo hakuna kufanya kazi yoyote,ni ibada tu(Kutoka 20:8-11, ISAYA 58:13,EZEKIEL 20:20,WAEBRANIA 4:9, QURAN 4:154,16:124,2:65).Yesu pia alikuwa akifuata hiyo dini(LUKA 4:16).Na waliabudu kwa namna tatu hadi nne.Kusujudu,kuanguka kifudifudi,kusimama,kupiga magoti.Zote zilikuwa zinakubalika mbele za MUNGU.Mtu hakulazimika kutumia namna moja tu.Nabii Danieli yeye alikuwa akipendelea sana kupiga magoti(DANIEL 6:10).Nyie hamna SABATO.Sasa utasema ni imani moja hiyo?Nyie mna ijumaa,ambayo hamuifanyi kama sabato.Unafunga biashara unaenda kuswali.Unamaliza unageuka kuendelea na biashara kitu ambacho ni kinyume kabisa na dini ya manabii.Manabii hawajawahi kuhalalisha,wala kula najisi iwayo yote(walawi 11 yote).Leo uislamu umeifanya najisi(ngamia) kuwa mnyama mtukufu wakati MUNGU wa manabii amekataza kabisa hata kugusa mizoga yao.Najisi haitakiwi iliwe hata katika mazingira yoyote yale,ila uislamu unaruhusu katika mazingira ya njaa.Sasa unathubutu vipi kutamba hadharani eti kina Musa Walikuwa waislamu wakati sheria za dini ya Musa zote uislamu unazipinga na kuzikanyaga!!Ili ujue dini ya Musa ni lazima uzichunguze sheria alizopewa na Mungu zifuatwe na wote wenye kujunasibu kuifuata dini aliyonayo Musa.Muhammadi ametamka tu"Musa ni muislamu".Mty yeyote anaweza kutamka tu katika kitabu chake.Hata uhindu kupitia vitabu vyao wanaweza kutamka tu.Ili tuamini ni lazima tuchunguze sheria zilizopo pande zote,zinaendana?
Mkuu punguza hasira na chuki utapata pressure bure.Siwez kukaa na kusema eti kuna mahali muislam amenizidi
Uislam ni dini ya vinyongo, ubaguzi, uhasama, vitisho na sheria kali ambazo hazina faida yoyote.