Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Tofautisha kati ya UISLAMU NA WAISLAMU. KInachozungumziwa hapa ni UISLAMU. Jiulize kwani hakuna WAISLAMU walevi,wazinzi,wachawi? Kisha tujiulize UISLAMU unasemaje kuhusu Ulevi,uchawi,uzinzi n.k. Kifupi ni kuwa UISLAMU UKO KAMILI lakini WAISLAMU wanamapungufu yao.
 
Mungu ameamrisha katikanQuran kuwa tuwatii viongozi miongoni mwetu pale tu wanaposhikamana na Quran na Sunnah za Mtume Muhammad! Tofauti na hapo mtu akija na porojo zake ambazo zipo nje ya Quran na Sunnah za Mtume hakuna kumtii abadani.

Waislam hatuburuzwi kibubusa na masheikh zetu kama ilivyo kwa wakristo.So hao jamaa walikuwa wanatamani waislam nao wangekuwa kama kondoo tu wapelekeshwe popote na mchungaji.
 
Sasa unaonesha picha za watu ambao huna uhakika kama ni waislamu alafu ndo unatumia kama ushahidi!!

Dera sio vazi la kiislamu hayo umesema ww, tu kwa utashi wako.

Tatizo una chuki binafs alafu ww ni dume kwann unajifanya demu?
 
Kwahiyo unapinga au unafafanua zaid, ila nacho jua uislamu ni wasiku nyingi kuliko uyahudi Jewish
Acha uongo wewe, kwamba, uislamu ni wa siku nyingi kuliko Uyahudi. Kwa historia ipi ndugu?
Uyahudi unatokana na jina Yuda aliyekuwa mmojawapo wa wana wa Yakobo (mwana wa Isaka, mjukuu wa mzee Ibrahimu). Uislamu umeanzishwa na Mohammed (mtume wa mwenyezi Mungu???) miaka zaidi ya 3,000 baada ya Taifa la Israel kuundwa nchini Kaanani (au karne ya 6 baada ya kuwa Yesu Kristo amepaa kwenda Mbinguni.
Uislamu ni wa juzi juzi tu. Acheni kubadilisha au kulazimisha history.
 
Ukiona mtu anaanza kushindanisha maswala ya imani jua ni kiazi bado hajafikia level ya kujitambua. Self-actualization refers to Maslow's theory of needs Robert Heriel Mtibeli. Tafadhali kajifunze types of human being behavior from Melancholic, Sanguine, phlegmatic, and choleric. Kama unadhani umesoma angalau uwe na MSc. Ila ni vizuri ukiwa na Ph.D. Ukianza kutaka kujipoteza au kusaidiwa kupoteleana endelea kujadili maada za imani.
 
Huyo faiza @foxy ni muislam jina tu akuna analolijua kwenye uislam
 
Angalia nchi zenye ukristo wa kweli kama Sweden,Norway na Finland jinsi watu Wana level ya juu ya maisha na ubinadamu

Hawana Usta Arabu sema tu mifumo ya usalama na kiulinzi ipo I mara hadi street camera zipo ndo mana hamna uhalifu sana.
 
Sasa unaonesha picha za watu ambao huna uhakika kama ni waislamu alafu ndo unatumia kama ushahidi!!

Dera sio vazi la kiislamu hayo umesema ww, tu kwa utashi wako.

Tatizo una chuki binafs alafu ww ni dume kwann unajifanya demu?
Kila mtu anajua madera ni ya waislamu.
Baikoko,taarabu,singeli,chura dance,usiku wa kalio ndembendembe ni miziki ya waislamu waswahili wa pwani.
 
Wazungu sio wanafiki ndo mana wanafanya hivyo.
Waarabu wanafanya huo ufiraun zaidi ya wazungu ila wao waoga na wanafiki ila kila.mtu anajua hii michezo wazungu wamejifunzia kwa waarabu maana biblia inapinga ushoga na Mungu wetu wa kweli aliichoma dunia kuonyesha jinsi asivyopenda ushoga.
Halafu usichokijua,kwa wazungu kwa sasa ukristo kwao ni utamaduni tu,hawaamini hata kuwa kuna Mungu.Wachungaji hao unaowaona wengine hata pombe wanakunywa.
Kazi kwenu waarabu/waislam mnaotaka mabinti waolewe na bikra halafu mkizidiwa kwa kukosa mbususu mnageuzana wenyewe kwa wenyewe
 
Sisi tupo vizuri kwa watoto yatima na vituo vya afya vikubwa ni vyetu hata serikali uingilia ku support
Ki ukweli swala la Ubinadam Waislam wako juu sana.(Acha na ule uslam unao usikia wakuvaa mabomu)

Hivo vituo pia fatilia watoa misaada wakubwa ni waislam
Alafu wao hawana hizi propaganda za wakitoa wajipige mapicha au matangazo au eti kutangaza tangaza.

Pia wao Yatima huwachukua na kuishi nao, kimaini yao sio kuwakusanya sehemu moja.
 
Waislamu ndoa zao hazidumu ila wanawake wao wanajua sana kupika.
 
Hapo umeongea vizuri Sasa.Kwenu hamna siku maalumu ya ibada,ila manabii waliambiwa waikumbuke na kuitunza jumamosi kuwa siku ya ibada tu.Kwo uislamu sio dini ya mitume na manabii
 
Yeye(Muhammad) ndiyo anajishuhudia mwenyewe kwenye kitabu chake,lakini MUNGU hasemi hivyo.Hata wewe unaweza kuandika kitabu,ukajiita nabii wa mwisho.Labda nijadili hoja Moja tu;
*Unasema vitabu vilivyotangulia vilitoka kwa MUNGU ila vikaharibiwa,ndipo MUNGU akaleta Quran.Sasa maswali haya naomba unijibu;
-Kwa mujibu wa imani yako,MUNGU ana uwezo wa kulinda vitabu vyake visiharibiwe na wanaadamu?Kama anaweza,kwa nini aliruhusu vitabu vyake viharibiwe?
-Kama vile viliharibiwa,ndipo akaona alete Quran,tuna uhakika gani kwamba sasa hivi atakilinda hiki kisiharibiwe tena na wanaadamu hawa hawa aluowaumba?Je,zamani alikuwa hakujipanga,ila sasa hv ndo kajipanga kulinda maneno yake?
-Ikiwa taurati,Zaburi na injili zilizopo Sasa sio sahihi(zimetiwa mikono),unaweza kutuonesha taurati,Zaburi na injili zilizo sahihi ili tuamini kuwa mtume wako hajaongopa katika kitabu chake?Kama huwezi kujibu kwa evidence basi Quran haijatoka kwa MUNGU wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo (Israel).Zilizopo ni ngonjera tu
 
Kwenye kuoa wake wa4 huku sisi mmoja,hapo wametupiga gape sana
 
Labda tukufundishe vitu ambavyo huvijui, malaika wenyewe wanamsujudia Mungu, Ibrahimu aliowa mke zaidi mmoja, Musa naye aliowa, ni mtume gani anayefanana nao
Kuoa ni sheria?Kama ni sheria,Isa nabii wenu alioa?Mkewe alikuwa akiitwa nani?Kwa hyo nabii wenu Isa alivunja sheria ya MUNGU na akaendelea kuwa nabii sio?Shida yenu hamjui sheria ya MUNGU ndo nini,na inapatikana wapi.Kuoa ni hiyari.Haijawahi kuwa sheria kwa mujibu wa vitabu vyote vya manabii(Muhammad sio nabii).Sheria ni hizi;usiwe na miungu mingine,usiisujudie wala kuitumikia sanamu,usilitaje Bure jina la BWANA MUNGU wako,ikumbuke siku ya sabato uitakase,usiue,usizini,usiibe,usimshuhudie jirani yako uongo,usitamani mke,Wala mali ya jirani yako.Nyingine usile najisi.Hakuna sheria inayolazimisha watu kuoa.Hii anayo Muhammad tu ambaye ni nabii wa uongo.
*Suala la kuabudu nimekupa aya zinazoonesha namna mbalimbali za kumwabudu MUNGU,na zote zilitumiwa na mitume na manabii,zinakubalika na MUNGU.Hata mimi huwa nazitumia zote hizi Kwa vipindi tofauti.Nasujudu,napiga magoti,naanguka kifudifudi,nasimama huku nikinyoosha mikono kuelekea mbingu.Sasa wewe unatakiwa utoe aya MUNGU anachukizwa na kumuabudu kwa namna hizo tajwa hapo juu isipokuwa kusujudu tu.
 
Kwenye heshima nadhani Wakristo wako vema sana hapa naongelea ukiristo dini na sio jina
Licha ya makuraishi wa Macca Kumkana Mtume Muhammad (S.A.W) Lakini bado walimwamini Kwa sababu Ya Taifa Yake Njema.
Hata hivo Uislamu Kuhusu Heshima Umeelekeza Vitu vingi vingine Unaweza hata Shangaa Ila zote Ni adabu Mfano
Adabu Za Kukaa Chooni(Ukiwa unajisaidia)
Adabu za Kukaa Vijiweni(Kutotoka Nje Ya Mada,Kutotumia lugha Chochezi,Yenye Matusi)
Adabu wakati Wa Kula(Mikao,ulaji)
Adabu Katika kufanya tendo la ndoa
N.k
 
Hapo.kwenye usafi mhhhh....kwa baadhi yale majuba yanaficha mengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…