Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Upo sahihi kabisa.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
OK sawa ila Muhammad (pbuh) ndo alikuja miaka 600 baada ya ukristo lakini ukweli nikwamba nabii Ibrahim, Nabii Musa nabi Adamu nabii Issa wote walikua waislamu japo uashilishaji na majukumu yao kwa binadamu haufanani......ila uislamu ulikuepo ulikuja kukamilishwa na Mtume Muhammad hilo liko kwenye Quran kama sijasahau ch 5 :3.
 
Asante ndugu Fereke ila kwetu sisi waislaam tunaamini na inasema Qur an kwamba Qur an imekuja kusadikisha vitabu(zabur, taurat hiyo ya wayahud, injili ambayo mnaifuata sana nyie ndugu zetu wakristo) vilivyopita kadhalika imekuja kusadikosha mitumi waliopita(yaani issa~yesu, Mussa, harun, ibhaim, is haka, haqub) ambao na nyie mnao hao mitumi kulingana na imani yenu ya kikristo


Kwahiyo Qur an haija paste ndugu, bali imekuja kusadikisha yaliyopita tunavyoaamini sisi waislaam pia si tu kisadikisha Bali imekuja na sharia mpya ambazo hazikuwa kutumika katika kaum ama umma zilizopita

Na kuna point dhaifu baadhi ya watu huwa wapenda kuitumia kuwa Islaam imekuja 600 baada ya yesu, wanakosea, inabidi waseme mtumi Muhammad ndio kaja 570 baada ya yesu kwasababu uislaam ulikuwapo hata kabla ya yesu kuja, kwasababu what is Islam??

I can simply define it as a total a way of life ambayo kiimani inaamini mwenyezi ni mmoja tu na amewatuma wajumbe wengi na Muhammad ni mjumbe pia na mjumbe wa mwisho kutumwa na mjumbe wa umma/zama hii tuliopo

Na utaona sisi waislaam ndio hata ibada zetu tunafanya ibada kama alivyofanya yesu, yaani tunarukuu/inama yesu alikuwa akifanya hivyo, tunasujudu yesu alikuwa akifanya hivyo na tunakaa tunamtaja mwenyezi mungu yesu alkuwa akifanya hivyo...!

Kama ukristo ni kufuata alivyoishi nabii Issa na kufanya ibada namna alivyokuwa akifanya basi nasisi twafanya hivyo ila yeye ni mungu/Mwana wa mungu hapo waislaam hutukuti maana tunaamini mwenyezi ni mmoja hafanani na chochote hajazaa wala hajazaliwa na hafananishwi na chochote na hana mshirika wa mwili wala nafsi


Pia kumbuka injili imekuja miaka maefu haswa! Wengine wanasema 4000 baada ya taurat ya Mussa wanayoishika sana mayahud, ukisema uislaam ni fake na umecopy kwa sababu umekuja miaka 600 baada ya yesu basi na wayahudi ambao mpaka sasa hawaamini Issa yaani yesu ameshakuja duniani wapo sawa kwasababu injili pia itakuwa imecopy vitabu vilivyotangulia maana na yenyewe imekuja baadae sana(kumbuka Judas hawaamini injili kuwa tayari ipo)

Note: sio mjadala ila nime comment tu,

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kulinda imani yao.

Huwezi kusikia dini yao inachezewa ovyo ovyo tu halafu wakakuangalia tu. Yaani msanii muislam yupo tayari kutengenezea maudhui yake kanisani ila sio akachezee msikitini.

mavazi ya kina dada.

hapo wameupiga mwingi sana .
 
Ime
 
Mungu Huwa hafanyi double standards ,kurudia kitabu alishakiandika upya?tokea manabii wa agano la kale nabii mpya alikuja na kitu kipya lakini hakiondoi mambo ya kabla
 
Wengi wa waislamu ni wanafiki sana hasa Kwa wakristo,ni wamejaa zuluma sana hawana upendo,wavivu na watapeli ,waanaamini kumdhulumu mtu wa imani nyingine kwao siyo dhambi,hawataki kuwajibika hata Kwa watoto wanaowazaa ndiyo maana hukimbilia talaka,ulozi na ugannga ugannga ndio kitu pekee wanaweza kuongoza
 
Hata kwenye kutoa ndogo wapo vizuri
Kwa kuwa mabinti ni wasafi raha ya ndogo usafi asee kwa mtoaji ndogo haswa binti na sio binti tuu,,,Ni Binti wa kiislamu mwenye stara zake na usafi wake haswaa ukiongeza na yale ma uturi yao acha kabsaa!!,,,Pepo ni hapa hapa ulimwenguni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…