Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

OK sawa ila Muhammad (pbuh) ndo alikuja miaka 600 baada ya ukristo lakini ukweli nikwamba nabii Ibrahim, Nabii Musa nabi Adamu nabii Issa wote walikua waislamu japo uashilishaji na majukumu yao kwa binadamu haufanani......ila uislamu ulikuepo ulikuja kukamilishwa na Mtume Muhammad hilo liko kwenye Quran kama sijasahau ch 5 :3.
Nje na Quran, kuna kitabu kingine Chochote hata cha kihistoria kinachothibitisha hayo madai yako?
 
Umesahau mambo mengine katika uislamu Ambao ni ya utu na kuvutia.
1. Ujirani na muislamu ni kama undugu ye utawajibika kwa Allah usipo mjulia hali jirani yako.

2.wazazi dini yao inawalazimiasha kusaidia wazazi wao hasa mzazi wa kike.

3. Hawana hightable kwenye sherehe zao manaake hawana matabaka katika jamii wote wako sawa. Wanakula pamoja hata wale wasio waislamu wakati wakupakua wanapewa chakula, muislamu huona chakula kama kitu cha kawaida hawezi kumnyima mtu.

4 husaidiana wakati washida za kijamii msiba, harusi au biashara hawachagishani wanatoa kwa hiari zao, wenyewe wanasema muislamu ndugu ye muislamu. nk.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kulinda imani yao.

Huwezi kusikia dini yao inachezewa ovyo ovyo tu halafu wakakuangalia tu. Yaani msanii muislam yupo tayari kutengenezea maudhui yake kanisani ila sio akachezee msikitini.

mavazi ya kina dada.

hapo wameupiga mwingi sana .
Hakuna kitu ninachopenda kama kuona mwanamke wa kiislamu amejistili inavyotakiwa ,anapendeza sana na ni ngumu kupigwa miluzi na wahuni na kuvuta matanio ya wanaume .
355504a8e7e26699935d896ed442ef8d--the-believer-to-draw.jpg
 
Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao

Ova
Saiv ukifikwaa na msiba kwetu wakristo ni stress tupu...catering msibani..kaburi kujengewaa..sare za familiaa..mziki wa maombolezo...mpk msiba uishe upoo hoii🙌wakristo tunaoverdo jamani
 
Natamani sana uislamu. Shida ni Kujiripua na kuvaa mabomu. Ila ni wazuri sana hasa stara. Siyo huku kwetu watu wana roho mbaya kama sijui nini?
Wakujipua na kuvaa mabomu ni extremist ,harakati hizo zinapigwa vikali na sheria za uislamu Masheikh wametunga vitabu wakieleza asilinya itikadi hiyo na jinsi walivyopotoka na kuvuka mipaka wao wanaua watoto ,Wanamama mpaka misikitini wanalipua ni kundi ovu mno.

Tatizo limeanza kutafsiri vifungu kwa matamanio yao na kutosoma katika misingi sahihi ya dini.
 
Natamani sana uislamu. Shida ni Kujiripua na kuvaa mabomu. Ila ni wazuri sana hasa stara. Siyo huku kwetu watu wana roho mbaya kama sijui nini?
Mafundisho yote ya uislam kupitia Sunnah na Quran hayawafundishi na hayaelezei kuidhurumu nafsi yoyote isiyo na hatia hata kama sio muislam,huwa nashangaa hao jamaa wa jihadi wanafuata mafundisho yapi
 
Back
Top Bottom