Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
JiheshimuSometimes na mara nyingi wanawake wa kikristo wanatawaza kwa tissue tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JiheshimuSometimes na mara nyingi wanawake wa kikristo wanatawaza kwa tissue tu
Hukuisahau.Ungeiandika ungekuwa umeshiriki uongoHii ni hoja kubwa sijui Kwa nini nimeisahau.
Twende kazi, najua wapo mmaojitawaza kwa maji pia wapo mnaojitawaza kwa magazeti.Jiheshimu
Kama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu,hata kama hana dini,asiyetumia maji ktk kujisafisha baada ya kujisaidia basi lazima atakuwa mshirikina tuTwende kazi, najua wapo mmaojitawaza kwa maji pia wapo mnaojitawaza kwa magazeti.
Ukweli usemwe tu, wanawake wa kiislamu kwenye hili la usafu wapo mbali sana, mbali ya kuitunza na kuihifadhi vyema miili yao kiusafi pia wapo mbali.
Wakristo jifunzeni, siyo mnaishia kupiga miswaki tu
Wakristo walishindwa kumudu elimu waliyoipata, matokeo yake masikio yakazidi kichwa, wakaanza kujibomoa.Sehemu moja kubwa Waislamu walipopiga bao ni kutoruhusu kitabu chao kihaririwe ama kiboreshwe. Hii inamaanisha maelekezo na miongozo yao ipo constant enzi na enzi.
Upande mwingine sasa kile kitendo cha kusema wanaboresha kitabu chao hapo ndipo hasa matatizo yalipoanzia. Imekuwa ni kama kuna dini nyingine nyingi ndani ya dini moja.
Leo hii muislam akiangukia popote pale duniani anaweza kufanya ibada yake bila kuhitaji muongozo lakini Mkristo lazima aulize kwanza dhehebu, mrengo, mmiliki n.k.
Ukichunguza hasa mafundisho mengi yaliyopo katika uislam kuhusu mfumo wa maisha ni yale yale ambayo yalikuwa katika biblia kabla kuanza kuhaririwa na 'kuboreshwa'.
Wapo wengi tu, hao ndiyo wale wasemao "Mungu huangalia rohoni". Sijui roho gani hiyo isiyokupa muongozo wa maisha unaoutakasa mwili. Wakristo wamesahau kuwa mwili ni hekalu linalohotaji usafi na hata biblia inafundisha usafi wa roho na mwili lakini wakristo wamechagua roho mwili wameutupa huko huku wenzao waislam wakichagua usafi wa mwili huku wa kiroho wakiutupa motoniKama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu,hata kama hana dini,asiyetumia maji ktk kujisafisha baada ya kujisaidia basi lazima atakuwa mshirikina tu
okSio kweli
Wamechagua usafi wa mwili, wa kiroho wameutumbukiza chooni, huku wakristo wakichagua usafi wa kiroho, uke wa mwili wakiutumbukiza chooni.Wavaa kobazi bhanaView attachment 2659649View attachment 2659650
Anampiga sijui ana muua lakini kwa umyenyekevu wa hali ya juu sanaWavaa kobazi bhanaView attachment 2659649View attachment 2659650
Katika Point zote ulizoandika hapo juu ni Mambo ya Kibinadamu (Maamuzi / tamaduni za Jamii husika ) ,
Usichanganye Lifestyle ya Watu (Mtu husika ) na Biblia .
Ili tukubaliane na wewe tupe vifungu vinavyohusu (Eleza )
1. Usafi na Stara kwa Mwanamke
2. Mgawanyo wa Mali
3. Heshima ya Mwanamke kwa Mwanaume
4. Mazishi
5. Mahali
Ili tuendeleee na Tukuabaliane na Wewe , Toa Vifungu !!!!!
ANGALIZO , Usichanganye
Tamaduni (Maisha ) ya Watu na Biblia .
KALIBU , Taikoni
Uwizi,utapeli,upigajiunaanzaMTU akifa Ukristoni inakuwa sakata kama la Bandari. Sio mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nimetokaa aaah[emoji23][emoji23][emoji23]nenda kwa wangoni kule,uzi ushaingiliwa na watu wa Dar
Mavi yako pimbi wewe ! unadhani wote humu ni mafala kama wewe! Kama unaona dini fulani ni bora nenda huko ila acha kukashifu imani na dini za wengine!
Kumbuka hizi dini tuliletewa tuu na ndio maana walipofika waarabu mwanzo watu wa eneo hilo wakawa waislam na walipofika wazungu watu wakristo!
Wewe kujidai sijui dini fulani ni bora kuliko nyingine na ukengemfuu tu kilaza wewe!
Kumbuka Tanzania hatuna ubaguzi wa dini wala kabila lakini wewe mamayo ndio unataka kuleta chokochoko zako "CHOKO WEWE" Na kama umeshindwa kuishi kwa amani mamayo wewe nenda Somalia au hata Sudan wakakufumue marinda pimbi wewe unayewashwa na kinyeo !
Uwizi,utapeli,upigajiunaanza
Hapo...
Ova
Upigaji tu,kuna watu wanageuza misiba fursaSaiv ukifikwaa na msiba kwetu wakristo ni stress tupu...catering msibani..kaburi kujengewaa..sare za familiaa..mziki wa maombolezo...mpk msiba uishe upoo hoii[emoji119]wakristo tunaoverdo jamani
Pimbi wewe unaleta maujinga yako unataka watu wakuone eti fascists taikuni mavi makuu weweHayo matusi yako hayatakufanya umnunylie Mkeo hata kanga.
Akili yako kisoda imeshindwa kukusaidia kujiendesha kimaisha unadandia mada zisizokusaidia lolote
Boss mbona hasira hahaha.... kwanza sisi hatuna siku kuu ya ibada, kilasiku sisi ni swala tano mpaka kufa! Kwahiyo siku zote ni sawa, usifosi tufanane, na hata kurejea huko nilikuwa sifananishi Bali nabainishaHuo ni uongo ulio dhahili.Dini ya mitume na manabii siku Yao kuu ya ibada ni jumamosi(SABATO).Siku hiyo hakuna kufanya kazi yoyote,ni ibada tu(Kutoka 20:8-11, ISAYA 58:13,EZEKIEL 20:20,WAEBRANIA 4:9, QURAN 4:154,16:124,2:65).Yesu pia alikuwa akifuata hiyo dini(LUKA 4:16).Na waliabudu kwa namna tatu hadi nne.Kusujudu,kuanguka kifudifudi,kusimama,kupiga magoti.Zote zilikuwa zinakubalika mbele za MUNGU.Mtu hakulazimika kutumia namna moja tu.Nabii Danieli yeye alikuwa akipendelea sana kupiga magoti(DANIEL 6:10).Nyie hamna SABATO.Sasa utasema ni imani moja hiyo?Nyie mna ijumaa,ambayo hamuifanyi kama sabato.Unafunga biashara unaenda kuswali.Unamaliza unageuka kuendelea na biashara kitu ambacho ni kinyume kabisa na dini ya manabii.Manabii hawajawahi kuhalalisha,wala kula najisi iwayo yote(walawi 11 yote).Leo uislamu umeifanya najisi(ngamia) kuwa mnyama mtukufu wakati MUNGU wa manabii amekataza kabisa hata kugusa mizoga yao.Najisi haitakiwi iliwe hata katika mazingira yoyote yale,ila uislamu unaruhusu katika mazingira ya njaa.Sasa unathubutu vipi kutamba hadharani eti kina Musa Walikuwa waislamu wakati sheria za dini ya Musa zote uislamu unazipinga na kuzikanyaga!!Ili ujue dini ya Musa ni lazima uzichunguze sheria alizopewa na Mungu zifuatwe na wote wenye kujunasibu kuifuata dini aliyonayo Musa.Muhammadi ametamka tu"Musa ni muislamu".Mty yeyote anaweza kutamka tu katika kitabu chake.Hata uhindu kupitia vitabu vyao wanaweza kutamka tu.Ili tuamini ni lazima tuchunguze sheria zilizopo pande zote,zinaendana?