Sultani Makenga
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 621
- 1,039
Kweli tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana ya 50/50Lakini Ukristoni ni Jambo la kawaida kumkuta Mwanamke amesimama Mbele ya wanaume anahubiri na kuhutubia utadhani hakuna wanaume au wanaume wameisha.
Sio marketing, dini kwetu ni total way of lifeTatizo waislam bado mpo kwenye propaganda na marketing ya dini. Paka akiingia tu msikitini basi ni topik dunia nzima. Akitokea mtu aliyekuwa maarufu duniani na aliyefulia akiahidiwa kubadili akiwafuata ili wampe vimichango basi ndio habari dunia nzima. Ona watu wanaanda kombe la dunia lakini ni propaganda za kidini zimo ndani, kuwaita akina Zakir Nir eti wawabadili watu, wanamsajili mchezaji mkubwa wa dunia ili wakamshinikize atangaze dini Yao. Wakristu hawapi huko siku hizi ,kujiunga tuu ukristu lazima upigwe darasa la ukatekumeni miaka 3 mfululizo
Wakristo tatizo lao ni kupokea kila kitu bila msingi wowote.Sehemu Nayowapa Credit ni maswala ya UBINADAM(HURUMA NA KUSAIDIA)
Nadhani ni karibia hospital zote kubwa waislam Ndo wenye mchango mkubwa kuwasaidia wagonjwa wote bila kujali itikadi kwa kuwapa vyakula na maji.
Nilishawahi uguzaga Mgonjwa hospital mbili tofauti nikabahatika kuona hiyo hali , ilinivutia sana .Kwani ndani ya wodi alolazwa mgonjwa wangu karibia wote hawakuwa hata na ndugu wenye uwezo wa kukimu mahitaji la mlo kwa mara tatu. Hivyo ukipeleka chakula basi unazidisha angalau nae awape wenzake.Pia kupitia hizo taasisi za kiislam zilifanya wagonjwa wote kupata chakula na maji.
Nilijiuliza ni namna gani wanawasaidia watu katika hali ngumu kama ile huku imani ya pili huku ndo kwanza ni kuchangishana kwenye nyumba za ibada ili kujenga hospital alafu gharama zao ziko juuu.
Kuna sekta waislam wako njema.Tatizo waislam bado mpo kwenye propaganda na marketing ya dini. Paka akiingia tu msikitini basi ni topik dunia nzima. Akitokea mtu aliyekuwa maarufu duniani na aliyefulia akiahidiwa kubadili akiwafuata ili wampe vimichango basi ndio habari dunia nzima. Ona watu wanaanda kombe la dunia lakini ni propaganda za kidini zimo ndani, kuwaita akina Zakir Nir eti wawabadili watu, wanamsajili mchezaji mkubwa wa dunia ili wakamshinikize atangaze dini Yao. Wakristu hawapi huko siku hizi ,kujiunga tuu ukristu lazima upigwe darasa la ukatekumeni miaka 3 mfululizo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣MTU akifa Ukristoni inakuwa sakata kama la Bandari. Sio mchezo.
Quran ndo umul kitabu mother of all hollybooks, vitabu vyote vya nyuma yake viliunganishwa humo baada ya watu kuingiza maneno yao ie interpolluted and extra polluted, Quran ndo final source of law/sheria hamna kitabu kingine wskika zaidi ya Quran na Muhammad ndo mtume wa mwisho hamna mtume mgine baada yake. Yoyote anae jitokeza anakua batili au impostor ch 2:2 Quran.Nje na Quran, kuna kitabu kingine Chochote hata cha kihistoria kinachothibitisha hayo madai yako?
Huu uzi kuna mtu ban inamngojea haha [emoji1]
Ova
Mtibeli dini pia ni biashara.Tupo kwenye mjadala wa kidini Mkuu. Sio biashara
Nmekukumbusha tuHasira za nini
Kuna swali ukijiuliza nadhani utapata hamu ya kujua zaidi ya hapo ulipo. Je mitume/watu wema kabla ya Abraham walikuwa ni dini gani? i.e. Noah, Enoch ect. Hakuna anayepinga kwamba waliongozwa na Mungu mmoja tunaemuabudu sie, ama sivyo?Mmh hujaelewa ndugu. Nilikuwa nafafanua chanzo cha hizi Sheria au Sharia ni Musa au Nabii Musa.
Uislam umekuja baada ya ukristo miaka 600 baadaye. Ukristo ulikuja baada ya uyahudi miaka elfu kadhaa baadaye. Ila kumbuka Dini zote ni Abrahamic. Chimbuko ni Ibrahim.
Sote ni Watoto wa Baba mmoja. Tuendelee kuishi kwa upendo tukishirikiana na kusaidiana. Ndio maana nikasema kila mmoja ana zuri la kujifunza kwa mwenzake.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tambua huko kujripua unakoongelea ni siasa za kimagharibi na makundi ya kigaidi waliyoyatengeneza wao wenyewe kwa maslahi yao kutoka Middle East. Soma historia then niambie wapi waislamu walikuwa wakijilipua kabla ya siasa za Marekani na middle East from the last 30 years? ukiangalia vizuri utagundua ni trend iliyo asisiwa miaka ya tisini kuja juu, je Hakukuwa na Uislamu kabla ya hapo? Leo hii ukiongelea waarabu na Uislamu umewekewa propaganda ya ugaidi, hebu tafuta narration ya wazungu miaka mia nyuma kama utakuta hizo arguments.Natamani sana uislamu. Shida ni Kujiripua na kuvaa mabomu. Ila ni wazuri sana hasa stara. Siyo huku kwetu watu wana roho mbaya kama sijui nini?