Kama zipi?Yeah!
Ingawaje Mimi sio muislam lakini Baadhi ya Kanuni nazitumia Kutoka kitabu Chao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zipi?Yeah!
Ingawaje Mimi sio muislam lakini Baadhi ya Kanuni nazitumia Kutoka kitabu Chao
mimi sibagui.... proudly atheist.... i believe we can all coexistWatajua wenyewe bwana....I ❤️ Christianity
Kuhusu ujirani, Uislamu umetoa mwongo huu unapotaka kujenga nyumba.Umesahau mambo mengine katika uislamu Ambao ni ya utu na kuvutia.
1. Ujirani na muislamu ni kama undugu ye utawajibika kwa Allah usipo mjulia hali jirani yako.
2.wazazi dini yao inawalazimiasha kusaidia wazazi wao hasa mzazi wa kike.
3. Hawana hightable kwenye sherehe zao manaake hawana matabaka katika jamii wote wako sawa. Wanakula pamoja hata wale wasio waislamu wakati wakupakua wanapewa chakula, muislamu huona chakula kama kitu cha kawaida hawezi kumnyima mtu.
4 husaidiana wakati washida za kijamii msiba, harusi au biashara hawachagishani wanatoa kwa hiari zao, wenyewe wanasema muislamu ndugu ye muislamu. nk.
Kama zipi?
Mtu yoyote ambaye si mkristu ni mpagani.Ukristo umeharibiwa na mila za kipagani za Wazungu walizochomeka kwenye Ukristo ili kuuchakachua! Baada ya Uamusho sasa hivi Ukristo unarudi katika ile hali ya kwanza ya Ukristo halisi.Ukristo halisi wa Kwanza ni ule uliokuwako wakati wa Yesu na Kanisa lake aliloliacha kabla hajapaa kwenda mbinguni,wakati huo ya Dola ya Kirumi ndiyo iliyokuwa inatawala dunia nzima.Wakati Kanisa la kwanza linaeneza Injili,utawala wa Kirumi baada ya kuona Imani ya Kikristo ni tishio kwa dini zao za kipangani waliangamiza wakristo wengi mno,mpaka wakristo walipofikia mahali (baada ya kuteswa mno) kukubali mafundisho ya kipagani ya Kirumi kuingizwa katika Ukristo ndiyo ikazaliwa Roman Catholic! Vitu kama kuvika maiti suti sijui maua,kuvaa mavazi ya kihuni yasiyo na heshima,nk hivi vyote vimeletwa na wazungu walioleta dini zao nchi masikini na kwingineko.
Nimeshangaa kusikia wanaongoza Kwa usafi🤔🤔🤔🤔hivi kawahi kuishi na wapemba huyu?wanaogeshea watoto kwenye masufuria ya kupikiaKwenye Mazishi na Mahari tu
Tembea Mbagala kule asilimia 95 Waislamu ila Uchafu ndo usiseme.
Nenda Temeke, Mwananyamala wote ni hao hao uchafu wanaongoza
Uchoyo wa kutoa creditation tu!Bwana taikon nenda kaoe Pemba halafu tuletee mrejesho hapa.
Kwenye kuzika, kwa sababu ya haraka Kuna muda wanazika hata waliozimia TU. Kwani hujawahi kusikia mtu kazirai kwa masaa 12? Sasa wenzako ukikata moto TU, twende kazi.
Kuhusu usafi inategemea, mambo mengi, kabila, eneo, elimu na mwamko wa familia, Hali ya uchumi nk. Mrisho Mpoto aliendesha kampeni ya Nyumba ni choo kule Lindi na Mtwara wakati asilimia kubwa ni hao hao. Kuhusu mirathi, Wakristo wameelimika muda mrefu sana. Hawataki kugonganisha mamlaka. Kama Kuna jambo Serikali inaweza kulitolea majibu au ufafanuzi wanaliacha mikononi mwa serikali. Ndio maana huoni Wakristo wakihangaika kama waislamu na Mahakama Yao ya kadhi. Mpagani akipewa madaraka anatumia katiba katika majukumu yake, hatumii upagani. Nashangaa wewe ni msomi wa namna Gani usiyejua Hilo? Ni nani aliyekupa utaikon? Kuhusu ndoa, Ndoa za kikristo zinavunjika, lakini hazifanani na zile za mwezi wa ramadhani. Kuhusu wanawake kuhutubia, Mzuwie mama Samia, Ummy mwalimu na akina Ashantu wasihutubie. Na kama wakiemdelea, wapeleke mahakamani. Saudia waliwazuwia wanawake, wasiwe waalimu, madereva hata kuwa madaktari, kisa watawatibu KE au ME. Lakini Sasa mambo yakoje kule? Wale wenzako hata kuongezewa damu ni Bidaa, we kalaga baho.
Maeneo mengi ya waswahili hukaa hao hao aliwasifia ila wengi wao hawana mahusiano mazuri, na pia wana matusi, ni wachafuNimeshangaa kusikia wanaongoza Kwa usafi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hivi kawahi kuishi na wapemba huyu?wanaogeshea watoto kwenye masufuria ya kupikia
Kwenye roho mzuri hapo nakataaWaislamu Hawataki shida Wala vurugu ndio maana Ndoa zao hazina mabalaa kama Kwa Wagalatia.
Pia umesahah wanawashinda Wakristo Ustaarabu,roho nzuri na uadilifu.
Kuogeshea watoto kwenye masufuria ya kupikiaUsafi na vyakula
Waislamu wa wapi hao? Humu watu munadanganyana sanaUmesahau mambo mengine katika uislamu Ambao ni ya utu na kuvutia.
1. Ujirani na muislamu ni kama undugu ye utawajibika kwa Allah usipo mjulia hali jirani yako.
2.wazazi dini yao inawalazimiasha kusaidia wazazi wao hasa mzazi wa kike.
3. Hawana hightable kwenye sherehe zao manaake hawana matabaka katika jamii wote wako sawa. Wanakula pamoja hata wale wasio waislamu wakati wakupakua wanapewa chakula, muislamu huona chakula kama kitu cha kawaida hawezi kumnyima mtu.
4 husaidiana wakati washida za kijamii msiba, harusi au biashara hawachagishani wanatoa kwa hiari zao, wenyewe wanasema muislamu ndugu ye muislamu. nk.
We ndio maana ulifaulu School of Law...Utumwa waitwa heshima........kiukweli sijawahi penda uislamu, Mwanamke ni kiumbe asiyethaminika kabisaongea mambo yooote lakini sio kwenye usafi. nenda maeneo mengi ya waislam, anzia tu hapo dsm, vyooni kwao utakuta maji ya kutawaza, ila hakuna sabuni ya kunawa mikono baada ya kushika nnya. that means, wengi huondoka chooni hawajanawa mikono kwa sabuni ndio maana maeneo hayo mengi yanaongoza kwa magonjwa ya tumbo. pia, kwa wale ambao walishawahi kudate na wavaa ushungi, hakuna watu wananuka vikwapa kama wale. kitu pekee wanachofanya ni kutia udi na mapafyumu kibao. halafu, kwani si tunaishi wote mtaani huku, wanawake wenu wanagongwa na dini zote, nakushauri useme tu kwamba wanawake wote ni sawa tu, wapo wachafu na wapo wasafu kwa dini zote.
kwenye mgawanyo wa mali, mimi ni mwanasheria, hakuna dini kandamizi kwenye mgawanyo wa mali kama dini ya kiislam. kwanza, ukianza tu kwa mtoto wa kambo, harithi kwa baba. ni mtoto haram. pia mama anapata mgao mdogo sana wakati kwa wakristo anaweza kupata nusu ya mali.
kwenye mahali, wewe kama mwanaume unatakiwa kujiona kidume kwa kutoa mahali, sio kupewa tu mke kama huna uwezo.
kwenye mazishi, hapo tusidiscuss, utaaibika.
mwisho, heshima ya mwanamke, naweza kukubaliana na wewe kwa mbaaali, though heshima ya wanawake wa kiislam ni ya woga, sio ya kutoka moyoni. wanaishi kama watumwa, watumwa wa dini na watumwa wa mume. na inahitaji upunguze kidogo akili ili uwe sawa kwasababu kwa akili ya kawaida haiji kichwani mwanamke kukubali mume aoe mwanamke mwingine hadi kufikia 4. kama sio utumwa au upungufu wa akili ni nini? hawajipendei.
Kwanini haukamilika kabla ya Mohammad?OK sawa ila Muhammad (pbuh) ndo alikuja miaka 600 baada ya ukristo lakini ukweli nikwamba nabii Ibrahim, Nabii Musa nabi Adamu nabii Issa wote walikua waislamu japo uashilishaji na majukumu yao kwa binadamu haufanani......ila uislamu ulikuepo ulikuja kukamilishwa na Mtume Muhammad hilo liko kwenye Quran kama sijasahau ch 5 :3.
Maeneo mengi ya waswahili hukaa hao hao aliwasifia ila wengi wao hawana mahusiano mazuri, na pia wana matusi, ni wachafu
Heri wewe usiyefungamana popote....Mimi ni mkristo,nitaishi na kujivunia Imani niliyoichagua,na itakuwa Bora siku zote....Aisee Nina vingi vya kuipenda Imani yangumimi sibagui.... proudly atheist.... i believe we can all coexist
mi mwenyewe nimetoka ukristoni.... kuna mengi mema.... tuishi tu mkuu tusiangalie hizi imaniHeri wewe usiyefungamana popote....Mimi ni mkristo,nitaishi na kujivunia Imani niliyoichagua,na itakuwa Bora siku zote....Aisee Nina vingi vya kuipenda Imani yangu
Nakuja Mara moja ngoja NIKACHUKUE maji ya kunywa nimpelekee BibiLakini Ukristoni ni Jambo la kawaida kumkuta Mwanamke amesimama Mbele ya wanaume anahubiri na kuhutubia utadhani hakuna wanaume au wanaume wameisha.
Hebu usilete ubishani wa kidini na ujusji ambao haina maana ili kukosoa sehemu fulani tu. Mada si kubishana kidiniMmh hujaelewa ndugu. Nilikuwa nafafanua chanzo cha hizi Sheria au Sharia ni Musa au Nabii Musa.
Uislam umekuja baada ya ukristo miaka 600 baadaye. Ukristo ulikuja baada ya uyahudi miaka elfu kadhaa baadaye. Ila kumbuka Dini zote ni Abrahamic. Chimbuko ni Ibrahim.
Sote ni Watoto wa Baba mmoja. Tuendelee kuishi kwa upendo tukishirikiana na kusaidiana. Ndio maana nikasema kila mmoja ana zuri la kujifunza kwa mwenzake.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Achana naye usiweke hoja naye za namna hiyo, dhumuni lake ni kuleta ubishani wa kidini ili apate cha kukosoa. Usieleweshe ambaye hayupo kwa ajili ya kuelewaOK sawa ila Muhammad (pbuh) ndo alikuja miaka 600 baada ya ukristo lakini ukweli nikwamba nabii Ibrahim, Nabii Musa nabi Adamu nabii Issa wote walikua waislamu japo uashilishaji na majukumu yao kwa binadamu haufanani......ila uislamu ulikuepo ulikuja kukamilishwa na Mtume Muhammad hilo liko kwenye Quran kama sijasahau ch 5 :3.