Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Kama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu,hata kama hana dini,asiyetumia maji ktk kujisafisha baada ya kujisaidia basi lazima atakuwa mshirikina tu
Unaongelea wanawake wa jamii gani mkuu? Don't generalize kwa kuangalia jamii moja. Nina hakika mkristo wa Tz na Marekani hawafanani katika hilo, ila wanawake wakiislamu popote duniani wanafanana katika kujisafisha na maji, regardless yupo wapi.
Haitaki tochi hiyo kamanda.
 
Katika Point zote ulizoandika hapo juu ni Mambo ya Kibinadamu (Maamuzi / tamaduni za Jamii husika ) ,
Usichanganye Lifestyle ya Watu (Mtu husika ) na Biblia .
Ili tukubaliane na wewe tupe vifungu vinavyohusu (Eleza )
1. Usafi na Stara kwa Mwanamke
2. Mgawanyo wa Mali
3. Heshima ya Mwanamke kwa Mwanaume
4. Mazishi
5. Mahali


Ili tuendeleee na Tukuabaliane na Wewe , Toa Vifungu !!!!!


ANGALIZO , Usichanganye
Tamaduni (Maisha ) ya Watu na Biblia .

KALIBU , Taikoni
Kweli unataka vifungu au unabishana tu? Uislamu unaenda kwa reference ndugu yangu ndo maana huoni ukibadilika badilika, yote hayo uliyoyasema yana reference tena zilizonyooka.
Vp tukupe reference au umeghairi?
 
Mimi ni mkristo tena mkorinto(msabato) na nakubaliana na hoja yako kwa asilimia kubwa tu.

Japo dini zote ni mapokeo ya kikoloni, yaliyoelekeza watu waishi kama jamii za watu fulani, lakini sie wagalatia hawa jamaa zetu tumewafata hadi kupitiliza, sidhani kama wazungu wana complications nyingi namna hii. Mbona harusi/sherehe za wazunhu ni simple tu, mbona mazishi yao ni so private, mbona wao hawana mahari kwa asilimia kubwa tu, mbona wana ustaarabu mkubwa(mind your own business) etc.
 
Sio vizuri kuanza kujadili masuala ya dini ,zaidi Kama Kuna Cha ziada ambacho baadhi ya watu wanakikosa Ni Bora kutoa elimu zaidi
 
Ukristo umeharibiwa na mila za kipagani za Wazungu walizochomeka kwenye Ukristo ili kuuchakachua! Baada ya Uamusho sasa hivi Ukristo unarudi katika ile hali ya kwanza ya Ukristo halisi.Ukristo halisi wa Kwanza ni ule uliokuwako wakati wa Yesu na Kanisa lake aliloliacha kabla hajapaa kwenda mbinguni,wakati huo ya Dola ya Kirumi ndiyo iliyokuwa inatawala dunia nzima.Wakati Kanisa la kwanza linaeneza Injili,utawala wa Kirumi baada ya kuona Imani ya Kikristo ni tishio kwa dini zao za kipangani waliangamiza wakristo wengi mno,mpaka wakristo walipofikia mahali (baada ya kuteswa mno) kukubali mafundisho ya kipagani ya Kirumi kuingizwa katika Ukristo ndiyo ikazaliwa Roman Catholic! Vitu kama kuvika maiti suti sijui maua,kuvaa mavazi ya kihuni yasiyo na heshima,nk hivi vyote vimeletwa na wazungu walioleta dini zao nchi masikini na kwingineko.
 
Kwenye Mazishi na Mahari tu

Tembea Mbagala kule asilimia 95 Waislamu ila Uchafu ndo usiseme.
Nenda Temeke, Mwananyamala wote ni hao hao uchafu wanaongoza
 
MTU akifa Ukristoni inakuwa sakata kama la Bandari. Sio mchezo.
.
20230606_235542.jpg
 
Back
Top Bottom