Asante ndugu
Fereke ila kwetu sisi waislaam tunaamini na inasema Qur an kwamba Qur an imekuja kusadikisha vitabu(zabur, taurat hiyo ya wayahud, injili ambayo mnaifuata sana nyie ndugu zetu wakristo) vilivyopita kadhalika imekuja kusadikosha mitumi waliopita(yaani issa~yesu, Mussa, harun, ibhaim, is haka, haqub) ambao na nyie mnao hao mitumi kulingana na imani yenu ya kikristo
Kwahiyo Qur an haija paste ndugu, bali imekuja kusadikisha yaliyopita tunavyoaamini sisi waislaam pia si tu kisadikisha Bali imekuja na sharia mpya ambazo hazikuwa kutumika katika kaum ama umma zilizopita
Na kuna point dhaifu baadhi ya watu huwa wapenda kuitumia kuwa Islaam imekuja 600 baada ya yesu, wanakosea, inabidi waseme mtumi Muhammad ndio kaja 570 baada ya yesu kwasababu uislaam ulikuwapo hata kabla ya yesu kuja, kwasababu what is Islam??
I can simply define it as a total a way of life ambayo kiimani inaamini mwenyezi ni mmoja tu na amewatuma wajumbe wengi na Muhammad ni mjumbe pia na mjumbe wa mwisho kutumwa na mjumbe wa umma/zama hii tuliopo
Na utaona sisi waislaam ndio hata ibada zetu tunafanya ibada kama alivyofanya yesu, yaani tunarukuu/inama yesu alikuwa akifanya hivyo, tunasujudu yesu alikuwa akifanya hivyo na tunakaa tunamtaja mwenyezi mungu yesu alkuwa akifanya hivyo...!
Kama ukristo ni kufuata alivyoishi nabii Issa na kufanya ibada namna alivyokuwa akifanya basi nasisi twafanya hivyo ila yeye ni mungu/Mwana wa mungu hapo waislaam hutukuti maana tunaamini mwenyezi ni mmoja hafanani na chochote hajazaa wala hajazaliwa na hafananishwi na chochote na hana mshirika wa mwili wala nafsi
Pia kumbuka injili imekuja miaka maefu haswa! Wengine wanasema 4000 baada ya taurat ya Mussa wanayoishika sana mayahud, ukisema uislaam ni fake na umecopy kwa sababu umekuja miaka 600 baada ya yesu basi na wayahudi ambao mpaka sasa hawaamini Issa yaani yesu ameshakuja duniani wapo sawa kwasababu injili pia itakuwa imecopy vitabu vilivyotangulia maana na yenyewe imekuja baadae sana(kumbuka Judas hawaamini injili kuwa tayari ipo)
Note: sio mjadala ila nime comment tu,
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app