Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Nje na Quran, kuna kitabu kingine Chochote hata cha kihistoria kinachothibitisha hayo madai yako?
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kulinda imani yao.

Huwezi kusikia dini yao inachezewa ovyo ovyo tu halafu wakakuangalia tu. Yaani msanii muislam yupo tayari kutengenezea maudhui yake kanisani ila sio akachezee msikitini.

mavazi ya kina dada.

hapo wameupiga mwingi sana .
Hakuna kitu ninachopenda kama kuona mwanamke wa kiislamu amejistili inavyotakiwa ,anapendeza sana na ni ngumu kupigwa miluzi na wahuni na kuvuta matanio ya wanaume .
 
Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao

Ova
Saiv ukifikwaa na msiba kwetu wakristo ni stress tupu...catering msibani..kaburi kujengewaa..sare za familiaa..mziki wa maombolezo...mpk msiba uishe upoo hoii🙌wakristo tunaoverdo jamani
 
Natamani sana uislamu. Shida ni Kujiripua na kuvaa mabomu. Ila ni wazuri sana hasa stara. Siyo huku kwetu watu wana roho mbaya kama sijui nini?
Wakujipua na kuvaa mabomu ni extremist ,harakati hizo zinapigwa vikali na sheria za uislamu Masheikh wametunga vitabu wakieleza asilinya itikadi hiyo na jinsi walivyopotoka na kuvuka mipaka wao wanaua watoto ,Wanamama mpaka misikitini wanalipua ni kundi ovu mno.

Tatizo limeanza kutafsiri vifungu kwa matamanio yao na kutosoma katika misingi sahihi ya dini.
 
Natamani sana uislamu. Shida ni Kujiripua na kuvaa mabomu. Ila ni wazuri sana hasa stara. Siyo huku kwetu watu wana roho mbaya kama sijui nini?
Mafundisho yote ya uislam kupitia Sunnah na Quran hayawafundishi na hayaelezei kuidhurumu nafsi yoyote isiyo na hatia hata kama sio muislam,huwa nashangaa hao jamaa wa jihadi wanafuata mafundisho yapi
 
Wafia dini kazi mnayoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…