Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

Unaposema maeneo mazuri unakua haupo specific,
Taja ni maeneo yenye vitu gani unavyovipenda wewe,

Unaweza kuelekezwa Beach nzuri kumbe wewe unapenda Club/Bar nzuri.
 
Nenda raskazone pale yatch ukaenjoy raha za bahari ya hindi.
 
Maeneo kama forodhani Garden ,Migahawa kama Hashtag ,Arbab pale...Kwingine sasa sana azunguke maana mimi sio mtu wa kiwanja ila vipo vingi. Zipo sehemu nyingi kama huko sahare kuna Mgahawa wa BBQ ni mzuri ila sijawahi kufika ...Zipo sehemu nyingi tu hata akiuliza boda ...Akitaka kwa hao vicheche wanapojiuza atapelekwa.

Hotel za kutulia kama j2 ; Mkonge Hotel ,nyumbani Hotel ,Raskazone hotel ,Tanga Beach
 
Labda ukatembelee Bomba la mafuta.
Vinginevyo utakutana na watu wasio na haraka za maisha wanapiga kahawa na kuendesha baiskeli.
 
Tanga imepoa hatari sehemu za kutembelea nazifikiria nakosa Cha msingi ongea na boda akutafutie manzi ukae ndani paka mkongo anzeni kupiga kelele!
 
Back
Top Bottom