SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu.
Halafu mbona kama watu wanauchukulia poa sana huu mji, sielewi kwa nini Serikali haijawekeza kuukuza huu mji. Siku Mluguru akichukua nchi, Moshi na Arusha wataachwa mbali sana tena ndani ya kipindi kifupi.