Kumejichokea huko hasa kule bongolaKikakala ndio the best kwa vigezo vifuatavyo.
1. Ustaarabu wa wakazi.
2. Usafiri bajaji 500 uko mjini.
3. Lami tupu na maji 90%
4. Vitega uchumi plus maeneo ya utulivu .
Nje ya hapo labda bigwa shida umbali kihonda mbali na mjini plus risk za usalama na shida ya maji nk
Taja eneo lolote morogoro nitakupa ufafanuzi.