Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu.

Halafu mbona kama watu wanauchukulia poa sana huu mji, sielewi kwa nini Serikali haijawekeza kuukuza huu mji. Siku Mluguru akichukua nchi, Moshi na Arusha wataachwa mbali sana tena ndani ya kipindi kifupi.
Naijua morogoro sako kwa bako.
 
Nipe mwongozo mkuu
Kikakala ndio the best kwa vigezo vifuatavyo.
1. Ustaarabu wa wakazi.
2. Usafiri bajaji 500 uko mjini.
3. Lami tupu na maji 90%
4. Vitega uchumi plus maeneo ya utulivu .
Nje ya hapo labda bigwa shida umbali kihonda mbali na mjini plus risk za usalama na shida ya maji nk
Taja eneo lolote morogoro nitakupa ufafanuzi.
 
Vipi maeneo haya mengine unayaonaje waliyotaja wengine:
Nanenane
SUA
Idiva
Misufini
Bongola
 
Kikakala ndio the best kwa vigezo vifuatavyo.
1. Ustaarabu wa wakazi.
2. Usafiri bajaji 500 uko mjini.
3. Lami tupu na maji 90%
4. Vitega uchumi plus maeneo ya utulivu .
Nje ya hapo labda bigwa shida umbali kihonda mbali na mjini plus risk za usalama na shida ya maji nk
Taja eneo lolote morogoro nitakupa ufafanuzi.
"Kikakala"! ndio the best. Ikisomeka Kilakala kutakua na shida!
 
Back
Top Bottom