Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

Magorofani

Idiva

Foresf

Modeko

Kigulunyembe

Kola A&B

Lukuyu

Nb hayo maeneo ni bora sana kwa huduma zifuatazo.

Usafiri, ulinzi (hakuna vibaka), upatikanaji wa maji.

Japo kama huna mambo mengi na unahitaji apartiment nzuri sana kodi nafuu maeneo yafuatayo yanafaa pia.

Kihonda,
Area 5&6,
Mazimbu camps,
Kilakala,
Bongola,

Karibu sana.
 
Around Morogoro yote manispaa kila sehemu ni karibu na mjini tofauti na dar .
Sehemu ambazo hutakiwi kukaa ni chamwino,manzese, mwembe songo, kichangani, mafisa, sultan area Kihonda viwandanim
Umenena vyema. Ndo maana walisema nanenane ni mbali nilishangaa Sana. Labda kwa ishu ya mavumbi
 
Modeko full lami hadi mtaani mitaa ya kwa Prof Kinabo

Magorofani

Idiva

Foresf

Modeko

Kigulunyembe

Kola A&B

Lukuyu

Nb hayo maeneo ni bora sana kwa huduma zifuatazo.

Usafiri, ulinzi (hakuna vibaka), upatikanaji wa maji.

Japo kama huna mambo mengi na unahitaji apartiment nzuri sana kodi nafuu maeneo yafuatayo yanafaa pia.

Kihonda,
Area 5&6,
Mazimbu camps,
Kilakala,
Bongola,

Karibu sana.
Maeneo hayo naweza kupata nyumba ya vyumba 3 kwa 100-150K?
 
Around Morogoro yote manispaa kila sehemu ni karibu na mjini tofauti na dar .
Sehemu ambazo hutakiwi kukaa ni chamwino,manzese, mwembe songo, kichangani, mafisa, sultan area Kihonda viwandani

Umenena vyema. Ndo maana walisema nanenane ni mbali nilishangaa Sana. Labda kwa ishu ya mavumbi
Ila kweli maeneo mengi niliyozunguka hata kule Kihonda ni karibu na mjini hasa kwa kuwa hakuna foleni sana kama Dar. 88 siyo mbali kihivyo, nadhani ni kama dk 15 kutoka Msamvu ila kwa mbele kunaonekana tu kukavu sijui huko ndani kama kuna miti miti kama kule Forest. Nitaenda kupacheki vizuri.
 
Ila kweli maeneo mengi niliyozunguka hata kule Kihonda ni karibu na mjini hasa kwa kuwa hakuna foleni sana kama Dar. 88 siyo mbali kihivyo, nadhani ni kama dk 15 kutoka Msamvu ila kwa mbele kunaonekana tu kukavu sijui huko ndani kama kuna miti miti kama kule Forest
😂😂
 
Back
Top Bottom