Hizi kota za Railway ziko na ubora gani na malipo/ pango zake ziko vipi..?kuna maeneo ya kota za relwe(railway) ,forest au misufini,sema misufini ina kwa uswahilini fulani hivi
Hizi kota za Railway ziko na ubora gani na malipo/pango zake ziko vipi..?kuna maeneo ya kota za relwe(railway) ,forest au misufini,sema misufini ina kwa uswahilini fulani hivi
zipo ambazo ni bora na kuna zilizochokaHizi kota za Railway ziko na ubora gani na malipo/pango zake ziko vipi..?
88 ni mbali sana na Town center,, kule Tubuyu kote ni mbaliNanenane
Nane nane mbona kama jua kali na vumbi sana.Yeah 88 kuna kaumbali, ila vipi mazingira yake yanavutia?
Kuna utulivu, kuna nyumba nzuri mpya mpya bado. Hapo katikati uswahili na structure zake me sijazielewa sana. May be kwa kuwa Mimi ninapenda nafasiYeah 88 kuna kaumbali, ila vipi mazingira yake yanavutia?
May be huku pia pana kautulivukwa mkuu wa mkoa
We matombo kijijini mkuuNitapafuatilia, sijawahi kufika huko
for sureMay be huku pia pana kautulivu