Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

Je, wataka nikutajie maeneo yenye HIV sana au Gono mno au Kaswende zaidi au Uwizi Uliotukuka au kwenye Wanga?
 
Around Morogoro yote manispaa kila sehemu ni karibu na mjini tofauti na dar .
Sehemu ambazo hutakiwi kukaa ni chamwino,manzese, mwembe songo, kichangani, mafisa, sultan area Kihonda viwandani
Haya maeneo ni ya wanywa gongo wehu na vibaka aisee aisee.
 
Modeko full lami hadi mtaani mitaa ya kwa Prof Kinabo
Yes kuelekea dark city ile mitaa ya kishua sana imetulia vema ila epuka maeneo ya pale makaburini kona ya golofa la asikofu barabara ya kwenda lugala utakufa mapema sana pamepakana na chamwino.
 
Nahitaji Maelezo zaidi kwenye hiyo paragraph ya pili mkuu kama hutojali.Umeona nini kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…