Kumejichokea huko hasa kule bongolaKikakala ndio the best kwa vigezo vifuatavyo.
1. Ustaarabu wa wakazi.
2. Usafiri bajaji 500 uko mjini.
3. Lami tupu na maji 90%
4. Vitega uchumi plus maeneo ya utulivu .
Nje ya hapo labda bigwa shida umbali kihonda mbali na mjini plus risk za usalama na shida ya maji nk
Taja eneo lolote morogoro nitakupa ufafanuzi.
Idiva vumbi lake la poda sii mchezoVipi maeneo haya mengine unayaonaje waliyotaja wengine:
Nanenane
SUA
Idiva
Misufini
Bongola
wakikutajia maeneo tulivu bila kukutajia kwenye makaburi ya kihonda jua wanakuhadaa...utakua mgeni wa Mungu siku moja na huwezi enda mbinguni kwa fastjetWakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu.
Halafu mbona kama watu wanauchukulia poa sana huu mji, sielewi kwa nini Serikali haijawekeza kuukuza huu mji. Siku Mluguru akichukua nchi, Moshi na Arusha wataachwa mbali sana tena ndani ya kipindi kifupi.
Kwa nn unataja Moshi na ArushaWakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu.
Halafu mbona kama watu wanauchukulia poa sana huu mji, sielewi kwa nini Serikali haijawekeza kuukuza huu mji. Siku Mluguru akichukua nchi, Moshi na Arusha wataachwa mbali sana tena ndani ya kipindi kifupi.