FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Labda kwa Tigo shops na mabenki, you are rightNadhani wamewalenga makampuni makubwa kama ya simu na mabank..waweke shops zao n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa Tigo shops na mabenki, you are rightNadhani wamewalenga makampuni makubwa kama ya simu na mabank..waweke shops zao n.k
kumbuka kwa sasa jiji limehamia maeneo hayo, lkn pia kumbuka stendi hiyo ni kubwa na ni yakimataifa, inahudumia nchi zaidi ya kumi na mikoa yote hivyo lazima wageni wa kimataifa wanao taka kulala ktk hoteli zenye hadhi hiyo watapatikana, hivyo sio lazima mgeni aende mjini....hukuku lazima apate huduma zenye viwango.Pote panafaa....ila unaijua hotel ya nyota 5 mkuu?? Uje kutujengea sisi wapanda maabus hotel ya nyota 5???
Kwanini usijenge ma apartments za ghorofa maeneo hayo utapata sana pesa
Hata kama waje steers au subway,,kwa kodi hiyo,pale itabidi chips yai iuzwe 10,000,,sasa nani atakula?,hakuna manantilie ataweza kuuza wali maharage alioe pango hapo,.
Mkuu unajua hotel yenye hadhi ya 5 star kweli na gharama zake zikoje?kumbuka kwa sasa jiji limehamia maeneo hayo, lkn pia kumbuka stendi hiyo ni kubwa na ni yakimataifa, inahudumia nchi zaidi ya kumi na mikoa yote hivyo lazima wageni wa kimataifa wanao taka kulala ktk hoteli zenye hadhi hiyo watapatikana, hivyo sio lazima mgeni aende mjini....hukuku lazima apate huduma zenye viwango.
Stendi ya mbezi ni fursa kubwa sana kwa maeneo hayo
Tena imetengenzwa vizuri na ina dari lakuhifadhia mizigo yako piaKwa Kariakoo fremu kama hiyo ni 1 mil tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Machinga Complex inaniuma hadi leoHii Nchi ina white elephants nyingi sana
Kabisa mkuu.....ngoja niwaletee ya sehemu ya kufungua bar mtashangaaHata kama waje steers au subway,,kwa kodi hiyo,pale itabidi chips yai iuzwe 10,000,,sasa nani atakula?,hakuna manantilie ataweza kuuza wali maharage alioe pango hapo,.
Watu watakula nje ya uzio na wataingia stand washashiba
Sasa hiyo ni bad strategy,,kawaida mwekezaji unamvuta kwa bei ya chini,akishajaa ndo unaanza kumpandishia kutokana na mzunguko wa biashara,kama anamake money atalipa tu,Hua wanasoma upepo wanapunguza...hata hapo mbezi wanasubiri makampuni yakishachukua zitakazo baki raia watakuja kupata kwa bei ya wastani japo haitokua haba
Ni kweli kabisaHata kama waje steers au subway,,kwa kodi hiyo,pale itabidi chips yai iuzwe 10,000,,sasa nani atakula?,hakuna manantilie ataweza kuuza wali maharage alioe pango hapo,.
Watu watakula nje ya uzio na wataingia stand washashiba
Nilijaribu kumwambia naona hajanielewa..labda anazunguzia hotel za kawaida kama bondeni hotel n.kMkuu unajua hotel yenye hadhi ya 5 star kweli na gharama zake zikoje?
najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,Mkuu unajua hotel yenye hadhi ya 5 star kweli na gharama zake zikoje?
Mkuu embu fanya research kidogo usifikiri hoteli ya five star ni jengo tu basi ..hizo hadhi zinakuwa categorized dunia nzima sio bongo tu, Ni viwango vya dunia nzima usidhan unajenga tu kisha unijipa hadhi ya kuwa five star hotel.najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
Imebidi nishangae tu mkuu yeye anachukulia kitu cha kawaida sana.Nilijaribu kumwambia naona hajanielewa..labda anazunguzia hotel za kawaida kama bondeni hotel n.k
Uongo kama raisi wako magu..kumbuka kwa sasa jiji limehamia maeneo hayo, lkn pia kumbuka stendi hiyo ni kubwa na ni yakimataifa, inahudumia nchi zaidi ya kumi na mikoa yote hivyo lazima wageni wa kimataifa wanao taka kulala ktk hoteli zenye hadhi hiyo watapatikana, hivyo sio lazima mgeni aende mjini....hukuku lazima apate huduma zenye viwango.
Stendi ya mbezi ni fursa kubwa sana kwa maeneo hayo
Kwa akili zako hz ...hela ya kuwekeza sijui umeipatje?najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
1nataka kuwekeza hoteli yenye hadhi ya nyota 5 maeneo karibu na maeneo hayo ya stendi ya mbezi mwisho, naomba ushauri kati ya;
1. Luguruni
2. kibamba
4. Kiluvya gogoni
wapi kati ya maeneo hayo panafaa zaidi?